MoneyHeist4
JF-Expert Member
- Jul 10, 2017
- 2,134
- 3,192
- Thread starter
- #101
Kutoka 25/07/2021 Nimepiga hesabu ikifika tarehe 25/05/2022 itakuwa wiki ya 40, kwenye 40 ukitoa siku 7 ambayo ni tarehe ya leo 18/05 inabaki 33. So kwenye 36 bado siku 3.. kwenye 40 bado siku 7.Mwanamke hua anatakiwa anifungue week ya 36 hadi 40. Ila ukiona kafika week ya 42 hajajifungua ndio hua wanfanyiwa induced labor. Haya calculate hizo week 40 ni miezi mingapi halafu uache kulialia na knowledge yako ya form 3 hiyo