Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 6,682
- 11,461
Umeangalia kadi ya clinic? Au unalea mimba kwa whatsapp?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaishi nae? Si unaliona tumbo? Kama hulioni basi mchanga wa macho...Sitaki kuandika maelezo marefu sana naenda moja kwa moja kwenye Mada maana kichwa kimechemka:-
Huyu demu nilikutana nae kimwili mwishoni mwa mwezi wa saba, ndani ya mwezi wa 8 akaniambia hajaona siku zake maana yake ana ujauzito wangu, mimi sikuleta ubishi nikakubali na nilimwambia nitakuwa nae bega kwa bega hadi mtoto atakapozaliwa.
Kilichonifanya nikimbilie kwenu wana Jf ni hiki. Nikipiga hesabu ya miezi 9 ya ujauzito nilitengemea atajifungua mwezi wa 4 lakini hadi leo mwezi wa 5 na tarehe zinaelekea mwishoni sioni hata dalili.
Na nikipiga hesabu toka mwezi wa saba mwishoni hadi mwezi huu wa 5 inafika miezi 10 ya ujauzito.
Je, inawezekana kweli hii maana Nahisi kama nimeingizwa chaka, msaada wenu kimawazo.
Siishi nae.Unaishi nae? Si unaliona tumbo? Kama hulioni basi mchanga wa macho...
KWA JIBU HILI TU.Mkuu nimekutana nae mara moja tu, toka huo mwezi wa saba hadi leo sijakutana nae kimwili tena.
eiiish.Mkuu hayo yote sikufatiria kabsa.
Duh hatariKWA JIBU HILI TU.
Mimba sio yako.
Sepa
Mwambie mwende nae hospitali.Duh hatari
Sitaki kuandika maelezo marefu sana naenda moja kwa moja kwenye Mada maana kichwa kimechemka:-
Huyu demu nilikutana nae kimwili mwishoni mwa mwezi wa saba, ndani ya mwezi wa 8 akaniambia hajaona siku zake maana yake ana ujauzito wangu, mimi sikuleta ubishi nikakubali na nilimwambia nitakuwa nae bega kwa bega hadi mtoto atakapozaliwa.
Kilichonifanya nikimbilie kwenu wana Jf ni hiki. Nikipiga hesabu ya miezi 9 ya ujauzito nilitengemea atajifungua mwezi wa 4 lakini hadi leo mwezi wa 5 na tarehe zinaelekea mwishoni sioni hata dalili.
Na nikipiga hesabu toka mwezi wa saba mwishoni hadi mwezi huu wa 5 inafika miezi 10 ya ujauzito.
Je, inawezekana kweli hii maana Nahisi kama nimeingizwa chaka, msaada wenu kimawazo.
Kwani mtoto lazima afanane na Baba?Mm mwenyewe imenitokea yaaan mtoto hatufanan hata kidogo , nmemwambia binti huyu mtoto nitamsaidia matunzo akikua ampelekee baba yake
Huwa inatokea...na inaweza kufika hata 11Inawezekana ujauzito kupitiliza miezi 10?[emoji24]
Sahihi37-42 weeks.
Kawaida mkuu, Nina mtu ambae namfahamu fika, mpaka anajifungua mimba yake ilikuwa na miezi 11 kasoroKwa miezi 10?