Nahisi kama nimeingizwa chaka

Haya mambo bana yanatia mashaka sana
Nasikia mimba inaweza kubebwa hata hadi miezi 12

Lakini pia mfano nilikata tamaa niliposikia kwamba unaweza kumpa demu mimba alafu ukamuacha alafu akawa analala na mshkaji mwingine na mtoto akazaliwa anafanana na huyo mshkaji japo siyo wake

Kwa maana hiyo kufanana na mtoto pia siyo kigezo kwamba ni damu yako huwenda pia siyo wako
 
Kabeba tembo
 
Duh hii mbona balaaa
 
Mtoto anaweza kuwa wako bado, hoja siyo alikwambia lini bali hoja ni mara ya mwisho kufanya naye mapenzi ilikuwa lini.

Yawezekana alikugundua anaweza kukutumia kupata mtoto, lakini akakujaribu kwa kukudanganya na ukaonekana siyo mtu wa kukimbia majukumu na ndo akakutegeshea vizuri.

Labda kama unasema mara ya mwisho kufanya naye mapenzi ilikuwa mwezi wa saba labda
 
Kama ulikutana nae 25/7/2021....
1.Due Date(40th Week) ni almost 17 April 2022.
2.Mimba ipo overdue kwa wiki almost 5.

Sasa basi, Mara nyingi Doctors wanaacha mimba maximum 42 weeks.Kwa case yako ingekuwa ni 30/04/2022....hapo angeanzishiwa uchungu (labor induction) na kama ingeshindikana basi angefangiwa tu Operation. Hiyo ndio best practice. Sidhani kama angeachwa kufika mbali kote huku 45 weeks.Labda madaktari waje kutoa maarifa zaidi.
 
Anavyodai kwenye kadi kaandikiwa tarehe 25/05 ndo maximum ya kujifungua.
 
Ndio ilikuwa mwezi wa 7/25
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…