Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Umeenda hospital [emoji541]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mimi kufa nipo tayar kuliko haya napitia ni mwaka wa 7 huu nateseka, kibiongo ndo nin mkuu?Hapa unapoteza mdaa..Wahi matibabu haraka iwezekanavyo...
Kufa hufi ila chamoto unakipata na ukilemaa unaweza pata kibiongo...
Pole
Mkuu zimegonga mwamba niliendaga pale magomen mapipa walikuwepo palePole sana mkuu, ungejaribu na zile tiba mbadala za kichina huenda ukapata suluhisho la tatizo lako. Naomba usikate tamaa, endelea kujipambania huku ukizidisha na maombi pia.
Duh pole sana mkuuMkuu mimi kufa nipo tayar kuliko haya napitia ni mwaka wa 7 huu nateseka, kibiongo ndo nin mkuu?
Situmiagi mkuu hata vyakula vinanikataa ni ugal samak na parachi ndo mlo wangu usionisumbuaAcha Kula kabisa vyakula vya sukari..
Utashangaa
Pole upo mkoa gani yupo docta bingwa wa haya magonjwa atakupa majibu yeye baada ya kupima mungu akuponyeNdugu zanguni naumwa sana na spinal cord (hiki ni kinyama kinachofunikwa na uti wa mgongo upande wa nyuma kinaanzia shingoni hadi kiunoni)
Mimi panaponiuma sehemu mkabara na kifua (maumivu kama kidonda kimewekwa pilipili au nachomwa na moto pamoja na misuli kukaza iyo sehemu had mabegani)
Naomba kuuliza kuna mtu au ulimsikia amewahi kuumwa SPINAL TB (TB ya mgongo (ungwe mgongo) au spinal kushambuliwa na fangas?
Naomba msaada wa mawazo.
Nawasilisha.
View attachment 2664916
Ahsante mkuu, barikiwa sanaDuh pole sana mkuu
Pole upo mkoa gani yupo docta bingwa wa haya magonjwa atakupa majibu yeye baada ya kupima mungu akuponye
Nenda ikonda mkuu usijali maelezo ya huyo mtu. Kule utapata jibu la ukweli.Nipo songwe mkuu ikonda ilikuwa planned but the same runner wa hili tatizo alienda hawakuona kitu apa inabidi niwe na dakitar atakayenifanyia mavipimo tofauti na nilivyofanya maana vingi huwa vinarudia ukileta kuwashauri wakufanyie kingine watakwambia wewe ni dakitar au unanifundisha kaz kama ndo ivo bas jitibu, nawaombea msije umwa magonjwa kama hatar kama haya mbarikiwe sana ndug zanguni
Kuna doctar yupo iwambi jb anaitwa makenzda jaribu kufika hapoNipo mkoa wa songwe huyo dokta anapatikana wap kama una mawasiliano naomba, barikiwa sana
Ni ngumu kuongea naye fika pale mweleze shida doctor wa maladhi hayo anakwambia shida yakoNipo mkoa wa songwe huyo dokta anapatikana wap kama una mawasiliano naomba, barikiwa sana
Pole sana, hilo linatibika hapo hospitali jiongezeNimeenda sana mkuu et hawaon tatizo x ray, ct scan na mri nimepigwa sana bado hawakuona tatizo ndo mana natafta mtu alie pitia hali kama yangu
Ahsante kwa ushauri wako ntaendelea kwenda hospitalin nisipokufa hiv karibun
Nimepima sana et hawaon tatizo, barikiwa sanaUmeenda hospital [emoji541]
Sawa mkuu itabid niende mkuu tuombeane mkuuNenda ikonda mkuu usijali maelezo ya huyo mtu. Kule utapata jibu la ukweli.
Vipi rufaa mbeya pia ulienda?Nimepima sana et hawaon tatizo, barikiwa sana
Kuna mtu alikuwa na tatizo kama hili miaka kadhaa nyuma. Aliponea IkondaNdugu zanguni naumwa sana na spinal cord (hiki ni kinyama kinachofunikwa na uti wa mgongo upande wa nyuma kinaanzia shingoni hadi kiunoni)
Mimi panaponiuma sehemu mkabara na kifua (maumivu kama kidonda kimewekwa pilipili au nachomwa na moto pamoja na misuli kukaza iyo sehemu had mabegani)
Naomba kuuliza kuna mtu au ulimsikia amewahi kuumwa SPINAL TB (TB ya mgongo (ungwe mgongo) au spinal kushambuliwa na fangas?
Naomba msaada wa mawazo.
Nawasilisha.
View attachment 2664916
Mkuu nijiongeze kiaje sijakuelewa ongeza tunyama kidogoPole sana, hilo linatibika hapo hospitali jiongeze
Kibiongo ni tatizo la kupinda kwa mifupa wa uti mgongokibiongo ndo nin mkuu?