Folk Part II
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 419
- 490
- Thread starter
- #41
Nimeenda hapo ndo wamenilandamuwa ma x ray ya kutosha lakin holaaa no +ve resultVipi rufaa mbeya pia ulienda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeenda hapo ndo wamenilandamuwa ma x ray ya kutosha lakin holaaa no +ve resultVipi rufaa mbeya pia ulienda?
Hufi mkuu.Nimeenda sana mkuu et hawaon tatizo x ray, ct scan na mri nimepigwa sana bado hawakuona tatizo ndo mana natafta mtu alie pitia hali kama yangu
Ahsante kwa ushauri wako ntaendelea kwenda hospitalin nisipokufa hiv karibun
nashukuru kaka kwa kujali barikiwa sana hauna mawasiliano yake huyo mtu ndugu?Kuna mtu alikuwa na tatizo kama hili miaka kadhaa nyuma. Aliponea Ikonda
Dah pole sana mungu atakufanyia wepesi, basi tu ila kuna jamaa mmoja uwa anatafutia msaada watu wasiojiweza kwa namna yoyote anaitwa malisa ebu jaribu kuongea nae anaweza akakupa japo kaushauriNimeenda sana mkuu et hawaon tatizo x ray, ct scan na mri nimepigwa sana bado hawakuona tatizo ndo mana natafta mtu alie pitia hali kama yangu
Ahsante kwa ushauri wako ntaendelea kwenda hospitalin nisipokufa hiv karibun
Kibiongo ni tatizo la kupinda kwa mifupa wa uti mgongo
Sababu ya tatizo hili haijulikani kwa wagonjwa wengi.
Wengi huzaliwa na tatizo hili.Matibabu ya tatizo hili ni upasuaji, na huduma hii inapatikana katika taasisi ya mifupa (MOI)
View attachment 2665328View attachment 2665329
Ahsante mkuu, huyo malisa yupo hapahapa jamii forum au nampataje mkuu?Dah pole sana mungu atakufanyia wepesi, basi tu ila kuna jamaa mmoja uwa anatafutia msaada watu wasiojiweza kwa namna yoyote anaitwa malisa ebu jaribu kuongea nae anaweza akakupa japo kaushauri
Kuliko sisi wa pole nyingi
Ajabu ukienda India unaweza kushangaa utakavyopona kirahisi, utaalam wetu nao una mashaka mengi.Nimeenda sana mkuu et hawaon tatizo x ray, ct scan na mri nimepigwa sana bado hawakuona tatizo ndo mana natafta mtu alie pitia hali kama yangu
Ahsante kwa ushauri wako ntaendelea kwenda hospitalin nisipokufa hiv karibun
Ahsante mkuu hizo dawa zilinipa nafuu tuHufi mkuu.
Ufe halafu zogo la bandari utuachie peke yetu mkuu?
Usichoke kwenda hospital iko siku daktari ataona shida iliko.
Wanasemaje kuhusu gesi tumboni mkuu?
Hujawahi kuandikiwa NAT B au Pregalin?
Vyovyote vile endelea kuwasumbua madaktari mkuu
Nat B ulitumia kwa kipindi cha muda gani mkuu?Ahsante mkuu hizo dawa zilinipa nafuu tu
Daa kweli kaka kamba yangu fupi siwez afford kwenda abroad , ubarikiwe mkuu kwa kujaliAjabu ukienda India unaweza kushangaa utakavyopona kirahisi, utaalam wetu nao una mashaka mengi.
Pole sana mkuu, kama hadi MRI imepiga mwamba manake tatizo ni hao radiographers na specialists. Ungekuwa na mkwanja umgeenda abroad naamini tatizo lako lingepata walau "nini shida"!
Sawa kaka nashukuru ntaenda nimuoneKuna doctar yupo iwambi jb anaitwa makenzda jaribu kufika hapo
Sawa mkuuTutategemea mrejesho
Sikumbuk vizur mkuuNat B ulitumia kwa kipindi cha muda gani mkuu?
Ahsante kwa ushauri barikiwa sanaJaribu kufanya kipimo cha Moyo pia. ECHO
Barikiwa mkuu ushauri wako nimeupokeaHiyo ni chembe ya moyo.
Tafuta mti wa mlonge kata kimti urefu wa kidole gumba chako, kata hata vitatu, chemsha na maji lita moja.
Tumia asubuhi mchana jioni kwa siku saba.
Usiache pia kusikiliza ushauri wa doctors.
Get well the soonest in Jesus Christ Name.
Zitumie tena kwa miez sita bila kuacha.Sikumbuk vizur mkuu