Nahisi kufa nahitaji msaada wa haraka

Nahisi kufa nahitaji msaada wa haraka

Nimeenda sana mkuu et hawaon tatizo x ray, ct scan na mri nimepigwa sana bado hawakuona tatizo ndo mana natafta mtu alie pitia hali kama yangu

Ahsante kwa ushauri wako ntaendelea kwenda hospitalin nisipokufa hiv karibun
Hufi mkuu.
Ufe halafu zogo la bandari utuachie peke yetu mkuu?

Usichoke kwenda hospital iko siku daktari ataona shida iliko.

Wanasemaje kuhusu gesi tumboni mkuu?
Hujawahi kuandikiwa NAT B au Pregalin?

Vyovyote vile endelea kuwasumbua madaktari mkuu
 
Dah pole sana mungu atakufanyia wepesi, basi tu ila kuna jamaa mmoja uwa anatafutia msaada watu wasiojiweza kwa namna yoyote anaitwa malisa ebu jaribu kuongea nae anaweza akakupa japo kaushauri
Kuliko sisi wa pole nyingi
 
Ahsante mkuu, huyo malisa yupo hapahapa jamii forum au nampataje mkuu?
 
Nimeenda sana mkuu et hawaon tatizo x ray, ct scan na mri nimepigwa sana bado hawakuona tatizo ndo mana natafta mtu alie pitia hali kama yangu

Ahsante kwa ushauri wako ntaendelea kwenda hospitalin nisipokufa hiv karibun
Ajabu ukienda India unaweza kushangaa utakavyopona kirahisi, utaalam wetu nao una mashaka mengi.

Pole sana mkuu, kama hadi MRI imepiga mwamba manake tatizo ni hao radiographers/radiologists na specialists. Ungekuwa na mkwanja umgeenda abroad naamini tatizo lako lingepata walau "nini shida"!
 
Hufi mkuu.
Ufe halafu zogo la bandari utuachie peke yetu mkuu?

Usichoke kwenda hospital iko siku daktari ataona shida iliko.

Wanasemaje kuhusu gesi tumboni mkuu?
Hujawahi kuandikiwa NAT B au Pregalin?

Vyovyote vile endelea kuwasumbua madaktari mkuu
Ahsante mkuu hizo dawa zilinipa nafuu tu
 
Ajabu ukienda India unaweza kushangaa utakavyopona kirahisi, utaalam wetu nao una mashaka mengi.

Pole sana mkuu, kama hadi MRI imepiga mwamba manake tatizo ni hao radiographers na specialists. Ungekuwa na mkwanja umgeenda abroad naamini tatizo lako lingepata walau "nini shida"!
Daa kweli kaka kamba yangu fupi siwez afford kwenda abroad , ubarikiwe mkuu kwa kujali
 
Hiyo ni chembe ya moyo.
Tafuta mti wa mlonge kata kimti urefu wa kidole gumba chako, kata hata vitatu, chemsha na maji lita moja.

Tumia asubuhi mchana jioni kwa siku saba.

Usiache pia kusikiliza ushauri wa doctors.

Get well the soonest in Jesus Christ Name.
 
Barikiwa mkuu ushauri wako nimeupokea
 
Back
Top Bottom