Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
Omba mtu akutafutie huo mlonge najua huko songwe upoBarikiwa mkuu ushauri wako nimeupokea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Omba mtu akutafutie huo mlonge najua huko songwe upoBarikiwa mkuu ushauri wako nimeupokea
Tiba ni kienyeji kama hosp hawaoni chochote!!Nimeenda sana mkuu et hawaon tatizo x ray, ct scan na mri nimepigwa sana bado hawakuona tatizo ndo mana natafta mtu alie pitia hali kama yangu
Ahsante kwa ushauri wako ntaendelea kwenda hospitalin nisipokufa hiv karibun
Tiba ni kienyeji kama hosp hawaoni chochote!!
Upo mkoa GANI!!?
Tiba ni kienyeji kama hosp hawaoni chochote!!
Upo mkoa GANI!!?
Unaifahamu MOI
Sawa mkuuZitumie tena kwa miez sita bila kuacha.
Zinasaidia sana ila pole pole
Amina 🤲🤲🤲🤲Mkuu!! Sijui Imani yako, lakin naomba nikutie Moyo Kuwa pale ambapo akili zetu zinaishia basi hapo ndo akili za Mungu zinaanzia.
unaweza zunguka kila aina ya hospital, tatzo lisionekane, unajua haya Mambo sometime hayawezi tibika kwa Binadamu Bali kwa Mungu.
ushauri wangu kwako mrudie Mungu wako katika maombi yako nakusihi sana omba rehema kwa mwenyezi Mungu pia akuepushe na Roho za mauti, Roho za kichawi na mengine kadri Moyo utakavyo unakuongoza,
Tafadhari usiende kwa Manabii au Hawa wachungaji wanaotumia vitu mbalimbali kama sehem ya miujiza hao waepuke kabisa.
kama uwezekano upo mtafute Pastor Mwakasege huwa ana Maombi Au fanya hivi Tafuta kanisa la EAGT ingia kwenye maombi Muombe Mungu akurehemu makosa yako yote, yawezekana Mungu ana makusudi na wewe, kwaiy anakupitisha kwenye moto,,
Kingine ukiomba na tatzo Bado likaendeleaa usikate Tamaa Mungu yeye anasema hachelewi Wala Hawaii kwaiy wew endelea kuomba.
Faida ya Kuomba, itakutengenezea ukaribu Na Mungu na kama Kuna vitu vya asili vilipandikizwa ndani yako kama vya kishirikina, maroho ya kurithi, pamoja na Nguvu zote za shetani zitaondolewa kwako. Lakin pia ikitokea siku ya kuish hapa Dunian imeisha basi utapokelewa na malaika wa Mungu. Kingine ukiwa unaomba usichoke najua shetana hatapenda atajutia Roho za uchovu wa kuomba au kuchanganya mambo mbalimbali Ili urudi nyuma ko jitaidi umuombe Mungu akuepushe navyo.
Usikate Tamaa, Kuna mwanamke aliteseka Miaka 12 lakin siku alipokuta na Yesu alipona kabisa na ugonjwa wake ukaisha,
Ezekieli Umri wa Kuishi ulipo Isha alimuomba Mungu na Mungu akasikia kilio chake akamuongezea miaka ya 15 ya Kuishi, Never Give Up Mkuu.
Mungu akusaidie.
Mungu msaidie Huyu Mja wako wewe unasema Kuwa hushindwi kitu Mungu Binadamu tunaweza kushindwa kuona tatzo lakin wew Mungu huwezi shindwa kuona, mponye mtoto wako Kila aina Roho chafu zilizo enda kupandikizwa juu yake Roho za Mauti zinazomtafuta Mungu muepushe na umsaidie apone, jina lako lihimidiwe Amen.
Ahsante mkuu nashukuru kwa ushaur wakoJaribu kufika st Joseph's mission hospital peramiho mkuu (ipo songea)
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuupole na wahi matibabu
Mungu akusaidie uponeAmina 🤲🤲🤲🤲