Nahisi kufa nahitaji msaada wa haraka

Nahisi kufa nahitaji msaada wa haraka

Do yoga
Screenshot_20230622-140141~2.png
 
Huo ugonjwa nenda hospital niliwahi kumpoteza mzee wangu kwa ugonjwa huo, yaani unaweza kupata maumivu pakauma sana then pakaacha kwa kipindi na pakiwa hapaumi unakua safi kabisa na mtu anaweza kudhani ulikua unaigiza, na wakati pakianza kuuma hadi upumuaji unakua shida sana , jitahidi uwahi hospital za maana kwa sababu hizi hospitali zetu watakujaza dawa za maumivu vidonge na za kuchua halafu watakueleza ni pingili sijui imekuaje na baadae utaishiwa hadi damu na kudhoofu, wao kufahamu ni spinal tb hawajui kabisa, na utafanyishwa mazoezi yasio na kichwa wala miguu, so wahi haraka sana
 
Tiba ni kienyeji kama hosp hawaoni chochote!!

Upo mkoa GANI!!?

Hospital hua hawaoni chochote, kwanza jitahidi utengeneze huu mchanganyiko tuone, mdalasini ya unga vijiko viwili, kitunguu saumu twanga punje saba kiwe cha kienyeji, green apple kata nusu na ulitwange, chukua nusu kijiko cha chai pilipili manga na karafuu nazo twanga, tangawizi uchukue kama hando moja menya utwange, vitu ulivotwanga utaviweka juani kwa muda wa masaa mawili, baadae chuku kikombe cha nusu lita weka humo asali robo lita ile asali ya nyuki wadogo upate ya asilia kabisa ina uchachu hivi, halafu chukua vitu ulivyotwanga vyote tia humo kwenye asali hiyo changanya kwa kukoroga hadi upate uji uji baadae chukua limao moja likamue maji yake tia humo halafu, koroga tena, hiyo dawa iweke kwenye kivuli ndani iache kama masaa matatu hivi, halafu dozi unachukua kijiko kidogo cha chai usiku wakati wa kulala, na kijiko kingine asubuhi mapema hua ni dozi ya siku saba, binafsi ilinisaidia sana shida fulani za kifua,
Kila kitu hapo unapata masokoni tu
 
Maji ya kunywa anza kutumia maji ya uvuguvugu kwa kunywa pale unapoweza, epuka maji baridi, halafu uje ulete mrejesho hapa naamini utakua umepata badiliko kidogo
 
Pamoja na hayo usiache kuwaona wataalamu hospital ambazo zinaeleweka
 
jipange uende muhimbili (MOI), tatizo lako linaweza husiana na shughuli zako za kila siku, au magonjwa ya pingili, japo kwa vipimo ulivyopimwa shida ilitakiwa kuonekana, ila pengine hawana utaalamu wa kutosha, ila ni hali inayoweza kusaidika ukikutana na daktari bingwa, kuna tiba za madawa, kuna tiba zaa mazoezi na vifaa saidizi, mdogo mdogo unapona, muhimu usikate tamaa maana ni shida zinazohitaji muda kiasi ili kuanza kupata nafuu.
 
Mkuu!! Sijui Imani yako, lakin naomba nikutie Moyo Kuwa pale ambapo akili zetu zinaishia basi hapo ndo akili za Mungu zinaanzia.
unaweza zunguka kila aina ya hospital, tatzo lisionekane, unajua haya Mambo sometime hayawezi tibika kwa Binadamu Bali kwa Mungu.
ushauri wangu kwako mrudie Mungu wako katika maombi yako nakusihi sana omba rehema kwa mwenyezi Mungu pia akuepushe na Roho za mauti, Roho za kichawi na mengine kadri Moyo utakavyo unakuongoza,
Tafadhari usiende kwa Manabii au Hawa wachungaji wanaotumia vitu mbalimbali kama sehem ya miujiza hao waepuke kabisa.

kama uwezekano upo mtafute Pastor Mwakasege huwa ana Maombi Au fanya hivi Tafuta kanisa la EAGT ingia kwenye maombi Muombe Mungu akurehemu makosa yako yote, yawezekana Mungu ana makusudi na wewe, kwaiy anakupitisha kwenye moto,,
Kingine ukiomba na tatzo Bado likaendeleaa usikate Tamaa Mungu yeye anasema hachelewi Wala Hawaii kwaiy wew endelea kuomba.

Faida ya Kuomba, itakutengenezea ukaribu Na Mungu na kama Kuna vitu vya asili vilipandikizwa ndani yako kama vya kishirikina, maroho ya kurithi, pamoja na Nguvu zote za shetani zitaondolewa kwako. Lakin pia ikitokea siku ya kuish hapa Dunian imeisha basi utapokelewa na malaika wa Mungu. Kingine ukiwa unaomba usichoke najua shetana hatapenda atajutia Roho za uchovu wa kuomba au kuchanganya mambo mbalimbali Ili urudi nyuma ko jitaidi umuombe Mungu akuepushe navyo.

Usikate Tamaa, Kuna mwanamke aliteseka Miaka 12 lakin siku alipokuta na Yesu alipona kabisa na ugonjwa wake ukaisha,
Ezekieli Umri wa Kuishi ulipo Isha alimuomba Mungu na Mungu akasikia kilio chake akamuongezea miaka ya 15 ya Kuishi, Never Give Up Mkuu.
Mungu akusaidie.

Mungu msaidie Huyu Mja wako wewe unasema Kuwa hushindwi kitu Mungu Binadamu tunaweza kushindwa kuona tatzo lakin wew Mungu huwezi shindwa kuona, mponye mtoto wako Kila aina Roho chafu zilizo enda kupandikizwa juu yake Roho za Mauti zinazomtafuta Mungu muepushe na umsaidie apone, jina lako lihimidiwe Amen.
 
Amina 🤲🤲🤲🤲
 
Back
Top Bottom