Nahisi kukata tamaa. Nifanye nini kujinasua?

wakwetu05

Member
Joined
Mar 28, 2025
Posts
75
Reaction score
124
Nakosa cha kuandika ila itoshe kusema kwa hapa nilipofika nahitaji msaada wa kiroho. Mambo hayaendi kila nachofanya hakiwi, nipo ila sionekani yaani ni kama nimezimwa.

Nini nifanye ili nitoke hapa ? huenda wapo waliopitia hali kama hii je mbinu gani mlitumia kujinasua kwenye kiza kama hiki?

Siumwi na chochote ila changamoto kubwa kipato. Ni kama nimefungwa (nikama nimepigwa pini sio za kawaida) naijiona kabisa sio mimi

Nahitaji mambo yafunguke maisha mengine yaendelee kama wengine wanavyofurahia maisha na mafanikio na mimi nataka kwangu iwe hivyo.

Nawasilisha (karibu kwenye comment &karibu Pm)
 
Pole sana, ikiwa mtu wa dini Mungu akufanyie wepesii Insha'Allah, au unavyo amini ukafanikiwe kwenye Hilo, ni wakati mgumu Ila ukapate mlango wa kutokea,

Hakika asubuhii ya leo ikarejeshe tabasamu na amani ya moyo,

Jipe moyo, jipe moyo Mungu akutangulie
 
Nakosa chakuandika ila itoshe kusema kahapa nilipofika nahitaji msaada wakiroho. mambo hayaendi kila nachofanya hakiwi , nipo ila sionekani yani nikama nimezimwa .
Nini nifanye ili nitoke hapa ? huenda wapo waliopitia hali kama hii je mbinu gani mlitimia kunisanua kwenye kiza kama hiki?

siumwi nachochote ila changamoto kubwa kipato . nikama nimefungwa (nikama nimepigwa pini sio zakawaida) nijiona kabisa sio mm . namafanikio namm nataka kwangu iwe hivyo.
Nawasilisha (karibu kwenye comment &karibu Pm
"nahitaji mambo yafunguke maisha mengine yaendelee kama wengine wanavyofurahia maisha "
 
Nakosa chakuandika ila itoshe kusema kahapa nilipofika nahitaji msaada wakiroho. mambo hayaendi kila nachofanya hakiwi , nipo ila sionekani yani nikama nimezimwa .
Nini nifanye ili nitoke hapa ? huenda wapo waliopitia hali kama hii je mbinu gani mlitimia kunisanua kwenye kiza kama hiki?

siumwi nachochote ila changamoto kubwa kipato . nikama nimefungwa (nikama nimepigwa pini sio zakawaida) nijiona kabisa sio mm . nahitaji mambo yafunguke maisha mengine yaendelee kama wengine wanavyofurahia maisha namafanikio namm nataka kwangu iwe hivyo.
Nawasilisha (karibu kwenye comment &karibu Pm)
Aisee pole sana...mimi nimepita kwenye machungu zaidi ya hayo....muhimu umejigundua...nakupa pongezi kubwa sana...sasa hatua inayofuata ni kujisalimisha kwa Mungu kwa imani yako....Kisha jishushe sana...moyo wa unyenyekevu then vuta subira.....majibu utayapata.....
 
Haujarogwa Mkuu hiyo wanapitia watu wengi duniani je watu wote hao wamerogwa.

Muamini Mungu wako
Share skills zako na Elimu katika site au platform za Ajira .

Kuwa MTU wa kujituma na kushukuru kwa kila jambo.

Usiende kwa mganga na Kama umeeshaenda usiende tena.

Hali ya uchumi ni ngumu inahitaji akili nyingi ili Ku-overcome changamoto.
 
Tatizo kila kitu unataka ufanye mwenyewe , mara nyingine ni Bora kusafiria nyota za watu

Mifano: Unataka kuanzisha Biashara ya chipsi? Usikae wewe kama bosi, tafuta vijana Wenye uzoefu wa kazi afu wakabidhi mradi na unakuwa unawekewa kiasi cha pesa ndani ya makubaliano (ufurahie riziki Yako na wao ya kwa jasho lao)
 
Nakosa chakuandika ila itoshe kusema kahapa nilipofika nahitaji msaada wakiroho. mambo hayaendi kila nachofanya hakiwi , nipo ila sionekani yani nikama nimezimwa .
Nini nifanye ili nitoke hapa ? huenda wapo waliopitia hali kama hii je mbinu gani mlitimia kunisanua kwenye kiza kama hiki?

siumwi nachochote ila changamoto kubwa kipato . nikama nimefungwa (nikama nimepigwa pini sio zakawaida) nijiona kabisa sio mm . nahitaji mambo yafunguke maisha mengine yaendelee kama wengine wanavyofurahia maisha namafanikio namm nataka kwangu iwe hivyo.
Nawasilisha (karibu kwenye comment &karibu Pm)
Umeelezea tu hali Yako ya kukata tamaa..
Hebu funguka una utaalam gani hasa una fani yeyote kama una elimu umesoma Nini ulimaliza mwaka gani ,ulishawahi kufanya kazi yeyote ya kuajiriwa au ulishawahi kujaribu kufanya biashara yeyote na Nini kilitokea..
Ili tuanzie hapo kujua tunakusaidia vipi ndugu yetu,
Ila tambua hiyo hali hasa katika nchi yetu hii wengi wanapitia haupo peke Yako mjomba..
 
Tatizo kila kitu unataka ufanye mwenyewe , mara nyingine ni Bora kusafiria nyota za watu

Mifano: Unataka kuanzisha Biashara ya chipsi? Usikae wewe kama bosi, tafuta vijana Wenye uzoefu wa kazi afu wakabidhi mradi na unakuwa unawekewa kiasi cha pesa ndani ya makubaliano (ufurahie riziki Yako na wao ya kwa jasho lao)
ninyi ndio mnafanya watu waende kwa waganga hakuna kitu kinaitwa nyota!
 
Nakosa chakuandika ila itoshe kusema kahapa nilipofika nahitaji msaada wakiroho. mambo hayaendi kila nachofanya hakiwi , nipo ila sionekani yani nikama nimezimwa .
Nini nifanye ili nitoke hapa ? huenda wapo waliopitia hali kama hii je mbinu gani mlitimia kunisanua kwenye kiza kama hiki?

siumwi nachochote ila changamoto kubwa kipato . nikama nimefungwa (nikama nimepigwa pini sio zakawaida) nijiona kabisa sio mm . nahitaji mambo yafunguke maisha mengine yaendelee kama wengine wanavyofurahia maisha namafanikio namm nataka kwangu iwe hivyo.
Nawasilisha (karibu kwenye comment &karibu Pm)
Ni kawaida Sana Sana Kwenye Maisha, kuna nyakati maisha yanakua makatili Sana Sana. Muombe MUNGU and think positive mwanzo Mwisho. Sema hivi, THIS TOO SHALL COME TO PASS
 
Nakosa chakuandika ila itoshe kusema kahapa nilipofika nahitaji msaada wakiroho. mambo hayaendi kila nachofanya hakiwi , nipo ila sionekani yani nikama nimezimwa .
Nini nifanye ili nitoke hapa ? huenda wapo waliopitia hali kama hii je mbinu gani mlitimia kunisanua kwenye kiza kama hiki?

siumwi nachochote ila changamoto kubwa kipato . nikama nimefungwa (nikama nimepigwa pini sio zakawaida) nijiona kabisa sio mm . nahitaji mambo yafunguke maisha mengine yaendelee kama wengine wanavyofurahia maisha namafanikio namm nataka kwangu iwe hivyo.
Nawasilisha (karibu kwenye comment &karibu Pm)
N mifumo ya kibinadamu tu ya kifisad ,toka gaza had Ukraine ,cha msing kuwa na mtazamo chany fanya ambacho kinafurahisha akili yakoo,endelea kutafuta fursa za Kaz ambazo unaweza pataa,Mungu habagui bro n mifumo tu ya kibinadam ya kifisad inayofanya watu wanateseka ,hujalogwa Wala nin,kuwa na furaha ,fanya mazoez ,listen good musics,huzuni na msongo wa mawazo weka mbali,kataa sadness,hujalogwa Wala nin,usipotezee mda wako kwenda Kwa waganga ,watu wa nyota😂 au watumishi wa god😂 ,,maisha n simple ,hali ya kiuchumi n ngumu Kwa sabab ya mifumo ya kijamii kuanzia serikalin had street,,hujalogwa ww n mtu mwenye thaman sana na una umuhimu sanaa
 
Back
Top Bottom