Nahisi kukata tamaa. Nifanye nini kujinasua?

Nahisi kukata tamaa. Nifanye nini kujinasua?

nipo dar mm nifundi ujenzi
kazi nimefanya zaidi yamiaka saba
kikubwa nataka mambo yafunguke niwe napata madili makubwa makubwa (zile site kubwa kubwa yan kiufupi mambo yaende vizuri)

Hapa unaeleweka sasa.

Wakat unasubiri kazi kubwa, tega kote.
Kubwa na ndogo,
Ikitokea ndogo unafanya na ukiwa katkat ya kaz na ikatokea kubwa unauza kazi, (nyiny mnajua jins mnavyofanya).

1. Una account insta bila shaka!.
Post kazi zako + na nyingne ambazo sio zako ila zinavutia,
Post hata hapa account yako.

2. Unganeni mafund muwe wawili watatu, kazi za Ujenz Dar ziko nying tu, sogea pembezon mwa mji, maghorofa kila siku yanajengwa.

3. Kuna jamaa anaitwa Shirima, mfuate Dm, muonyeshe kazi zako, naona sio mchoyo wa Ridhk, akipata ridhk kubwa anagawa kwa wenzake na ww ukiwa kwa List utafikiwa.

4. Ukipata muda nenda tembelea pembezon mwa mji, tembea kwa miguu kutafuta site kubwa unazoona ww unaweza fanya kitu, omba namba, tangaza offer yako, huwez jua unaweza ukapewa ww na fund aliyejenga asiendelee nae (may yuko juu au hana ubora).

Sasa unajua wap pa kuanzia.
 
Hapa unaeleweka sasa.

Wakat unasubiri kazi kubwa, tega kote.
Kubwa na ndogo,
Ikitokea ndogo unafanya na ukiwa katkat ya kaz na ikatokea kubwa unauza kazi, (nyiny mnajua jins mnavyofanya).

1. Una account insta bila shaka!.
Post kazi zako + na nyingne ambazo sio zako ila zinavutia,
Post hata hapa account yako.

2. Unganeni mafund muwe wawili watatu, kazi za Ujenz Dar ziko nying tu, sogea pembezon mwa mji, maghorofa kila siku yanajengwa.

3. Kuna jamaa anaitwa Shirima, mfuate Dm, muonyeshe kazi zako, naona sio mchoyo wa Ridhk, akipata ridhk kubwa anagawa kwa wenzake na ww ukiwa kwa List utafikiwa.

Sasa unajua wap pa kuanzia.
yaah sijatega tu kazi kubwa kubwa maana kwasasa hata vikazi vidogo vidogo sipati mambo yamekaza sana . itafanyia kazi huu ushauri wako
 
kukata tamaa nidhambi,usichoke kushinda mitandaoni mitandao nitiba kiakili japo wengi wanakataa,mimi nilipata kazi kupitia facebook,kuhusu maswala kutokwenda vizuri kazana kufunga na kusali.
 
Mimi sijaona tatz mkuu. Wewe ongeza juhudi na punguza matarajio makubwa kuliko unachofanya. Nenda kidogokidogo ukisevu kidogo unachokipata kwa ajili ya malengo makubwa uliyojiwekea.
 
Hakuna cha kurogwa wala kupigwa msumari brother, badili upepo wa mishe mishe na upangilie upya mifumo yako ya mapato na matumizi
 
Nakosa cha kuandika ila itoshe kusema kwa hapa nilipofika nahitaji msaada wa kiroho. Mambo hayaendi kila nachofanya hakiwi, nipo ila sionekani yaani ni kama nimezimwa.

Nini nifanye ili nitoke hapa ? huenda wapo waliopitia hali kama hii je mbinu gani mlitumia kujinasua kwenye kiza kama hiki?

Siumwi na chochote ila changamoto kubwa kipato. Ni kama nimefungwa (nikama nimepigwa pini sio za kawaida) naijiona kabisa sio mimi

Nahitaji mambo yafunguke maisha mengine yaendelee kama wengine wanavyofurahia maisha na mafanikio na mimi nataka kwangu iwe hivyo.

Nawasilisha (karibu kwenye comment &karibu Pm)
Mjomba,
Kwanza acha habari za kuona kuna mtu au kitu kimezuia wewe usitoboe, Jiangalie mwenyewe kwanza. Ukianza kuangalia visababishi vya nje hutaviona visababishi vyako mwenyewe.

2. Jikubali usijilinganishe au kujifananisha na mtu, usitamani kuwa kama fulani, kuishi kama fulani bila kutamani kufanya kama huyo fulani anavyofanya ilo uwe kama yeye, na ukitamani kuwa kama fulani anza kutamani kuanzia mwanzo kule alipoanzia mpaka akafika hapo alipo.

3. Mafanikio na furaha katika maisha ni matokeo ya mapambano ya bila kukata tamaa katika maisha, hamnaga mafanikio ya kupewa au kuletewa.

4. Fahamu utofauti kati ya vitu MUHIMU katika maisha na vitu vya MAANA katika maisha.
Vitu vya maana ni UPENDO,FURAHA, AMANI NA UHURU. Hivi ili uvipate lazma kwanza uwe unavyo. Huwezi pendwa kweli bila kupenda kweli, huwezi kutegemea kupewa furaha wakati wewe hutoi furaha, huwezi kupata amani na uhuru wakati wewe hutoi uhuru na amani. Hivi vitu haviuzwi, vinatafutwa ndani ya watu na vinalelewa na kuambukizwa na kurithishwa na kuendelezwa.

Vitu muhimu ni Fedha, Marafiki, Elimu. Hivi vinatafutwa kwa na kupatikana kwa kuzingatia Utu, Uelewa mzuri, na Subira. Kumbuka, hivi ni vya muhimu lakini sio vya maana. Ikivizingatia sana hivi ukapuuzia vile vya maana bado utakuwa hujakamilika na utahangaika kutafuta tulizo la nafsi kila siku.

3.Tuliza moyo wako,kubali mapungufu yako, rahisisha mahitaji yako, ongeza kipato chako.
 
Nakosa cha kuandika ila itoshe kusema kwa hapa nilipofika nahitaji msaada wa kiroho. Mambo hayaendi kila nachofanya hakiwi, nipo ila sionekani yaani ni kama nimezimwa.

Nini nifanye ili nitoke hapa ? huenda wapo waliopitia hali kama hii je mbinu gani mlitumia kujinasua kwenye kiza kama hiki?

Siumwi na chochote ila changamoto kubwa kipato. Ni kama nimefungwa (nikama nimepigwa pini sio za kawaida) naijiona kabisa sio mimi

Nahitaji mambo yafunguke maisha mengine yaendelee kama wengine wanavyofurahia maisha na mafanikio na mimi nataka kwangu iwe hivyo.

Nawasilisha (karibu kwenye comment
hujasoma?
huna kazi
&karibu Pm)
Unachanganyikiwa na nn sasa?
Unaumwa?
 
Back
Top Bottom