Nahisi kukata tamaa. Nifanye nini kujinasua?

Nahisi kukata tamaa. Nifanye nini kujinasua?

Nakosa chakuandika ila itoshe kusema kahapa nilipofika nahitaji msaada wakiroho. mambo hayaendi kila nachofanya hakiwi , nipo ila sionekani yani nikama nimezimwa .
Nini nifanye ili nitoke hapa ? huenda wapo waliopitia hali kama hii je mbinu gani mlitimia kunisanua kwenye kiza kama hiki?

siumwi nachochote ila changamoto kubwa kipato . nikama nimefungwa (nikama nimepigwa pini sio zakawaida) nijiona kabisa sio mm . nahitaji mambo yafunguke maisha mengine yaendelee kama wengine wanavyofurahia maisha namafanikio namm nataka kwangu iwe hivyo.
Nawasilisha (karibu kwenye comment &karibu Pm)
Mambo kama hayo mtafute sangatiti ndugu
 
Komaa mzee, Hakuna kukata Tamaa. Kika mtu anapitia magumu kwa namna yake ila Shukuru kwa Mwenye enzj kwa uzima ulionao mengine yatakuja tu.
 
Nakosa cha kuandika ila itoshe kusema kwa hapa nilipofika nahitaji msaada wa kiroho. Mambo hayaendi kila nachofanya hakiwi, nipo ila sionekani yaani ni kama nimezimwa.

Nini nifanye ili nitoke hapa ? huenda wapo waliopitia hali kama hii je mbinu gani mlitumia kujinasua kwenye kiza kama hiki?

Siumwi na chochote ila changamoto kubwa kipato. Ni kama nimefungwa (nikama nimepigwa pini sio za kawaida) naijiona kabisa sio mimi

Nahitaji mambo yafunguke maisha mengine yaendelee kama wengine wanavyofurahia maisha na mafanikio na mimi nataka kwangu iwe hivyo.

Nawasilisha (karibu kwenye comment &karibu Pm)
Usipende sana kuamini katika kulogwa, wengi wamepitia hali hiyo ngumu lakini kuna wakati mambo yanabadilika, mambo yanapokuja kubadilika ndio hapo unagundua wala hakuna aliyekuwa na muda wa kukuloga ni wakati wako tu ulikuwa haujafika.

Kikubwa jitahidi kuwa na utayari wa kufanya jambo au shughuli yoyote halali ya kukuingizia kipato , pili jitahidi kupata connections na watu mbalimbali. Jitahidi kuwa mtu wa kujichanganya maana huwezi kufahamu mafanikio yako yatapitia kwa nani, inaweza akawa ndugu, rafiki, jirani hata adui yako vilevile. Be Humble
 
Nakosa cha kuandika ila itoshe kusema kwa hapa nilipofika nahitaji msaada wa kiroho. Mambo hayaendi kila nachofanya hakiwi, nipo ila sionekani yaani ni kama nimezimwa.

Nini nifanye ili nitoke hapa ? huenda wapo waliopitia hali kama hii je mbinu gani mlitumia kujinasua kwenye kiza kama hiki?

Siumwi na chochote ila changamoto kubwa kipato. Ni kama nimefungwa (nikama nimepigwa pini sio za kawaida) naijiona kabisa sio mimi

Nahitaji mambo yafunguke maisha mengine yaendelee kama wengine wanavyofurahia maisha na mafanikio na mimi nataka kwangu iwe hivyo.

Nawasilisha (karibu kwenye comment &karibu Pm)
Uuuh
 
Usikate tamaa mkuu,hichi kipindi kitakufunza mambo mengi sana ambayo pengine ungekuwa well financially usingejifunza

Wewe jitahidi kupush naimani mambo yatafunguka tu.

Kila la kheri
 
Bora wewe,nilipitakwenye majaribu makubwa sana,
Huna hela,kazi imekata,umebambikiwa kesi kubwa kubwa,kukaa ndani na familia inakuhitaji wacha kabisa ilikua ni machungu yasiyo ya kawaida
Kikubwa omba Mungu na usidhani amekusahau ukakaa mbali nae,hakuna gumu mbele ya Mungu,amini na usali sana
 
shida dunia yasasa kama huna pesa kila kitu umepoteza
 
Aisee pole sana...mimi nimepita kwenye machungu zaidi ya hayo....muhimu umejigundua...nakupa pongezi kubwa sana...sasa hatua inayofuata ni kujisalimisha kwa Mungu kwa imani yako....Kisha jishushe sana...moyo wa unyenyekevu then vuta subira.....majibu utayapata.....
muhimu umejigundua...nakupa pongezi kubwa sana...sasa hatua inayofuata ni kujisalimisha kwa Mungu kwa imani yako....Kisha jishushe sana...moyo wa unyenyekevu then vuta subira.....majibu utayapata..
 
Back
Top Bottom