Unahitaji kusafishwa nyota
Tuma ile hela kwenye namba hii.....
najua hilo ila maji yamepita mpaka shingoniKutata tamaa ni mwiko
"nahitaji mambo yafunguke maisha mengine yaendelee kama wengine wanavyofurahia maisha "Nakosa chakuandika ila itoshe kusema kahapa nilipofika nahitaji msaada wakiroho. mambo hayaendi kila nachofanya hakiwi , nipo ila sionekani yani nikama nimezimwa .
Nini nifanye ili nitoke hapa ? huenda wapo waliopitia hali kama hii je mbinu gani mlitimia kunisanua kwenye kiza kama hiki?
siumwi nachochote ila changamoto kubwa kipato . nikama nimefungwa (nikama nimepigwa pini sio zakawaida) nijiona kabisa sio mm . namafanikio namm nataka kwangu iwe hivyo.
Nawasilisha (karibu kwenye comment &karibu Pm
nadhani ukijifunua zaidi, utawafanya watu wafunguke zaidi,ondoa aibu mkuu funguka,jifunue jifunue jifunuenajua hilo ila maji yamepita mpaka shingoni
Aisee pole sana...mimi nimepita kwenye machungu zaidi ya hayo....muhimu umejigundua...nakupa pongezi kubwa sana...sasa hatua inayofuata ni kujisalimisha kwa Mungu kwa imani yako....Kisha jishushe sana...moyo wa unyenyekevu then vuta subira.....majibu utayapata.....Nakosa chakuandika ila itoshe kusema kahapa nilipofika nahitaji msaada wakiroho. mambo hayaendi kila nachofanya hakiwi , nipo ila sionekani yani nikama nimezimwa .
Nini nifanye ili nitoke hapa ? huenda wapo waliopitia hali kama hii je mbinu gani mlitimia kunisanua kwenye kiza kama hiki?
siumwi nachochote ila changamoto kubwa kipato . nikama nimefungwa (nikama nimepigwa pini sio zakawaida) nijiona kabisa sio mm . nahitaji mambo yafunguke maisha mengine yaendelee kama wengine wanavyofurahia maisha namafanikio namm nataka kwangu iwe hivyo.
Nawasilisha (karibu kwenye comment &karibu Pm)
Umeelezea tu hali Yako ya kukata tamaa..Nakosa chakuandika ila itoshe kusema kahapa nilipofika nahitaji msaada wakiroho. mambo hayaendi kila nachofanya hakiwi , nipo ila sionekani yani nikama nimezimwa .
Nini nifanye ili nitoke hapa ? huenda wapo waliopitia hali kama hii je mbinu gani mlitimia kunisanua kwenye kiza kama hiki?
siumwi nachochote ila changamoto kubwa kipato . nikama nimefungwa (nikama nimepigwa pini sio zakawaida) nijiona kabisa sio mm . nahitaji mambo yafunguke maisha mengine yaendelee kama wengine wanavyofurahia maisha namafanikio namm nataka kwangu iwe hivyo.
Nawasilisha (karibu kwenye comment &karibu Pm)
ninyi ndio mnafanya watu waende kwa waganga hakuna kitu kinaitwa nyota!Tatizo kila kitu unataka ufanye mwenyewe , mara nyingine ni Bora kusafiria nyota za watu
Mifano: Unataka kuanzisha Biashara ya chipsi? Usikae wewe kama bosi, tafuta vijana Wenye uzoefu wa kazi afu wakabidhi mradi na unakuwa unawekewa kiasi cha pesa ndani ya makubaliano (ufurahie riziki Yako na wao ya kwa jasho lao)
Ni kawaida Sana Sana Kwenye Maisha, kuna nyakati maisha yanakua makatili Sana Sana. Muombe MUNGU and think positive mwanzo Mwisho. Sema hivi, THIS TOO SHALL COME TO PASSNakosa chakuandika ila itoshe kusema kahapa nilipofika nahitaji msaada wakiroho. mambo hayaendi kila nachofanya hakiwi , nipo ila sionekani yani nikama nimezimwa .
Nini nifanye ili nitoke hapa ? huenda wapo waliopitia hali kama hii je mbinu gani mlitimia kunisanua kwenye kiza kama hiki?
siumwi nachochote ila changamoto kubwa kipato . nikama nimefungwa (nikama nimepigwa pini sio zakawaida) nijiona kabisa sio mm . nahitaji mambo yafunguke maisha mengine yaendelee kama wengine wanavyofurahia maisha namafanikio namm nataka kwangu iwe hivyo.
Nawasilisha (karibu kwenye comment &karibu Pm)
N mifumo ya kibinadamu tu ya kifisad ,toka gaza had Ukraine ,cha msing kuwa na mtazamo chany fanya ambacho kinafurahisha akili yakoo,endelea kutafuta fursa za Kaz ambazo unaweza pataa,Mungu habagui bro n mifumo tu ya kibinadam ya kifisad inayofanya watu wanateseka ,hujalogwa Wala nin,kuwa na furaha ,fanya mazoez ,listen good musics,huzuni na msongo wa mawazo weka mbali,kataa sadness,hujalogwa Wala nin,usipotezee mda wako kwenda Kwa waganga ,watu wa nyota😂 au watumishi wa god😂 ,,maisha n simple ,hali ya kiuchumi n ngumu Kwa sabab ya mifumo ya kijamii kuanzia serikalin had street,,hujalogwa ww n mtu mwenye thaman sana na una umuhimu sanaaNakosa chakuandika ila itoshe kusema kahapa nilipofika nahitaji msaada wakiroho. mambo hayaendi kila nachofanya hakiwi , nipo ila sionekani yani nikama nimezimwa .