Mambo kama hayo mtafute sangatiti nduguNakosa chakuandika ila itoshe kusema kahapa nilipofika nahitaji msaada wakiroho. mambo hayaendi kila nachofanya hakiwi , nipo ila sionekani yani nikama nimezimwa .
Nini nifanye ili nitoke hapa ? huenda wapo waliopitia hali kama hii je mbinu gani mlitimia kunisanua kwenye kiza kama hiki?
siumwi nachochote ila changamoto kubwa kipato . nikama nimefungwa (nikama nimepigwa pini sio zakawaida) nijiona kabisa sio mm . nahitaji mambo yafunguke maisha mengine yaendelee kama wengine wanavyofurahia maisha namafanikio namm nataka kwangu iwe hivyo.
Nawasilisha (karibu kwenye comment &karibu Pm)
Usipende sana kuamini katika kulogwa, wengi wamepitia hali hiyo ngumu lakini kuna wakati mambo yanabadilika, mambo yanapokuja kubadilika ndio hapo unagundua wala hakuna aliyekuwa na muda wa kukuloga ni wakati wako tu ulikuwa haujafika.Nakosa cha kuandika ila itoshe kusema kwa hapa nilipofika nahitaji msaada wa kiroho. Mambo hayaendi kila nachofanya hakiwi, nipo ila sionekani yaani ni kama nimezimwa.
Nini nifanye ili nitoke hapa ? huenda wapo waliopitia hali kama hii je mbinu gani mlitumia kujinasua kwenye kiza kama hiki?
Siumwi na chochote ila changamoto kubwa kipato. Ni kama nimefungwa (nikama nimepigwa pini sio za kawaida) naijiona kabisa sio mimi
Nahitaji mambo yafunguke maisha mengine yaendelee kama wengine wanavyofurahia maisha na mafanikio na mimi nataka kwangu iwe hivyo.
Nawasilisha (karibu kwenye comment &karibu Pm)
UuuhNakosa cha kuandika ila itoshe kusema kwa hapa nilipofika nahitaji msaada wa kiroho. Mambo hayaendi kila nachofanya hakiwi, nipo ila sionekani yaani ni kama nimezimwa.
Nini nifanye ili nitoke hapa ? huenda wapo waliopitia hali kama hii je mbinu gani mlitumia kujinasua kwenye kiza kama hiki?
Siumwi na chochote ila changamoto kubwa kipato. Ni kama nimefungwa (nikama nimepigwa pini sio za kawaida) naijiona kabisa sio mimi
Nahitaji mambo yafunguke maisha mengine yaendelee kama wengine wanavyofurahia maisha na mafanikio na mimi nataka kwangu iwe hivyo.
Nawasilisha (karibu kwenye comment &karibu Pm)
wala sitaipata naaminiDepression.
shida dunia yasasa kama huna pesa kila kitu umepotezaBora wewe,nilipitakwenye majaribu makubwa sana,
Huna hela,kazi imekata,umebambikiwa kesi kubwa kubwa,kukaa ndani na familia inakuhitaji wacha kabisa ilikua ni machungu yasiyo ya kawaida
Kikubwa omba Mungu na usidhani amekusahau ukakaa mbali nae,hakuna gumu mbele ya Mungu,amini na usali sana
28Tuanze na umri wako kwanza, ili nijue nakupa ushauri wa Aina gani
muhimu umejigundua...nakupa pongezi kubwa sana...sasa hatua inayofuata ni kujisalimisha kwa Mungu kwa imani yako....Kisha jishushe sana...moyo wa unyenyekevu then vuta subira.....majibu utayapata..Aisee pole sana...mimi nimepita kwenye machungu zaidi ya hayo....muhimu umejigundua...nakupa pongezi kubwa sana...sasa hatua inayofuata ni kujisalimisha kwa Mungu kwa imani yako....Kisha jishushe sana...moyo wa unyenyekevu then vuta subira.....majibu utayapata.....
Bado wakati unao usikate tamaa, watanzania wengi sasahivi maisha magumu hauko pekeyako