Nahisi kukata tamaa. Nifanye nini kujinasua?

Mambo ni magumu sana kaka yangu usiogope

Yote yatapita na yataisha

BWANA akusaidie sana
 
Umri wako bado sana sio umri wa kukata tamaa,kuna watu wana umri wa miaka 40 na kuendelea halafu bado mambo hayaendi na unakuta familia mke na watoto hawaelewi wanataka huduma hapo ndio huwa inafikia mahala mtu anatokomea kusikojulikana na kuitelekeza familia,maisha ni vita ndugu sio lelemama.
 
Ushauri mzuri Sana huu
 
Kama unaishi maghorofani au mwembeni hama.
 
namm nahofia kufika umri huo nikiwa patupu_
 
Kama umejiajiri hamia kwingine uanze upya. Mimi nilihama Arusha nikaenda Dar ndo nikaanza kuona hela.
 
Mambo kama hayo yanamkuta kila mwanadamu ila Mara nyingi nimeshawahi kukutana na hii situation kwenye maisha yangu unajua nilifanya nini..

Nilimkabidhi Allah maisha yangu nilifunga siku Tatu nikimuomba Mungu aniondoshe kwenye janga kama ili hakika nilifanikiwa

Pia nilisema sitakuja tena kukata tamaa daima

Tatu nilitoka eneo nililokuwa naishi nikaenda kupanga mbali na hapo

Alhamdullilah mpaka leo niko vizuri 🏃‍♂️🏃
 
hizo siri nipeni namm niwe nazo
Huwezi kupewa na mtu yeyote na hata ukishaanza kuonekana una mafanikio hutamwambia yeyote tutakuona tu kwa nje na kusema aah jamaa anaishi vizuri na ana mafanikio sana.
 
bora niwe napesa mambo yakukosa furaha nitajua mwenyewe nafanyaje
Usiombe kukosa amani ya moyo wewe. Nina jirani yangu usiku halali ni pombe , mziki na wanawake hawezi kupata usingizi kichwa kikiwa hakijazibuka.
 
Bro wakwetu05 .

Kuna maswali meng ya wadau hujajibu,
Umri ni 28 yrs.
Uko wap?
Una fan gani?
Ushawah fanya kaz wap?
Unahitaj kaz ya namna gan?

Kuomba ni muhimu.
Ila pia msaada Kutoka kwa Mungu mara zote hujionyesha kupitia watu ambao Mungu anawagusa kukusaidia.

Kwahiyo toa info zaid , inawezekana kuna mtu yuko karibu na ww na anauhitaj wa mtu kama ww.
 
Hii hali ni ya kawaida mwaka huu kuanzia mwezi wa 2 mwishoni, hasa kama wewe upo kwenye construction industry basi no sahihi, mzunguko wa hela umekuwa mgumu sana, ila tarajia hepa kuachiliwa soon . Be patient.
 
Ndio natoka kwa mganga anasema hatujalogwa mkuu ila sisi ni wazembe tu, anasema tukifanya kazi kwa bidii mbona tunatoboa
 
nipo dar mm nifundi ujenzi
kazi nimefanya zaidi yamiaka saba
kikubwa nataka mambo yafunguke niwe napata madili makubwa makubwa (zile site kubwa kubwa yan kiufupi mambo yaende vizuri)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…