sindbari
Senior Member
- Mar 28, 2014
- 156
- 43
Hata bange sometimes huleta maono ya jinsi hii
kweli mkuu hata bangi anachangia sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata bange sometimes huleta maono ya jinsi hii
mie huwa nikikumbuka kuwa mtu fulani sijawasiliana naye hasa anayenihusu, itapita intavo ya dk kama tano hv mara nakuta simu inaiita au sms imeingia ya yule niliyekuwa namfikiria.
Mi hadi nishazoea...
Familia yetu imejaa watu wanaoona mbele, hasa matukio yale mabaya mabaya tu!
Excel tafuta vitabu hivi - You can change your destiny/ how to change your destiny, Liao fan's four lessons na Analects:way and its power
Asante sana mkuu... naanza sasa hivi kuvisaka online.
Please kama una soft copies unaweza kunigawia pia!
basi tuko wengi mie huwa naona na kila mikisemacho kama utan vile huja kuwa kweli?
mfano naweza kuona labda mtu fulan atakuja af kweli yule mtu huwa anakuja ama tukio fulan litatokea na kweli linatokea. cha ajabu zaid ni kwamba nikiona tukio la hatari af nikisema kwa mtu ama nikikemea lile tukio huwa halitokei lkn nisipo lisema kwa mtu ama kukemea linatokea.
sijipend na huwa naonaga kama ni aina fulan ya utambuzi ambayo pia siipendi
bora wewe una plan b ya kukemea mimi hii hali siipendi na sina plan b. Nitajifunza kukemea