Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAKAZIATofali ni zito kuliko daftari
Tatizo vyuo vimevamiwa Kuna watu wanatakiwa kuwa wapiga debe au Makondakta daladala au vibarua wabeba mizigo sokoni au nzege kwenye majenho wanaomba kusoma IT vyuoni na kupoteza Bure pesa za ada za wazazi waoNimeianza IT Rasmi, naiona Rahisi ila ya moto, wanvyofundisha sielewi kabisa yaani, darasani kama ni mtihani tukipewa leo au siku yoyte, basi mimi nitakuwa ni mmojawapo wa wanafunzi waliofanya vibaya darasani,
Jamani naombeni mnishauri jamani,,,,,,,
SASA BASI.....
Tukija upande wa practical sasa ukiachana na ma operating system kuyakariri, nipo vizuri japokuwa so kivili, kidogo najitahidi kutatua changamoto ndogondogo za kiteknolojia pale simu zao zinapopata shida,
NAOMBENI USHAURI JAMANI ALAF PIA MAPENZI YANANITESA NASHINDWA KUACHA JAPOKUWA SIJATONGOZA MSICHANA YEYOTE TANGU NIANZE MASOMO OCTOBER MWAKA HUu,
Pia mm ni level 4[emoji23][emoji23][emoji23]
nasema ukweliii... mapenzi yananitesaaaa... na ndio chanzo cha mimi kutokuelewa class nahisi, naombeni mnishauri kak zangu kwa dada zangu.......
😃😃dronedrake hebu mshauri kijana
Dogo soma aisee....acha masihara na elimuNimeianza IT Rasmi, naiona Rahisi ila ya moto, wanvyofundisha sielewi kabisa yaani, darasani kama ni mtihani tukipewa leo au siku yoyte, basi mimi nitakuwa ni mmojawapo wa wanafunzi waliofanya vibaya darasani,
Jamani naombeni mnishauri jamani,,,,,,,
SASA BASI.....
Tukija upande wa practical sasa ukiachana na ma operating system kuyakariri, nipo vizuri japokuwa so kivili, kidogo najitahidi kutatua changamoto ndogondogo za kiteknolojia pale simu zao zinapopata shida,
NAOMBENI USHAURI JAMANI ALAF PIA MAPENZI YANANITESA NASHINDWA KUACHA JAPOKUWA SIJATONGOZA MSICHANA YEYOTE TANGU NIANZE MASOMO OCTOBER MWAKA HUu,
Pia mm ni level 4[emoji23][emoji23][emoji23]
nasema ukweliii... mapenzi yananitesaaaa... na ndio chanzo cha mimi kutokuelewa class nahisi, naombeni mnishauri kak zangu kwa dada zangu.......
🖕🏽🖕🏽🖕🏽🖕🏽🖕🏽Nimeianza IT Rasmi, naiona Rahisi ila ya moto, wanvyofundisha sielewi kabisa yaani, darasani kama ni mtihani tukipewa leo au siku yoyte, basi mimi nitakuwa ni mmojawapo wa wanafunzi waliofanya vibaya darasani,