Nahisi kusoma kwangu ni bure, bora ningebaki tu nyumbani

Nahisi kusoma kwangu ni bure, bora ningebaki tu nyumbani

We mwenyew bogus too kwa mujibu wa maji Yako, we ndo mtu wa kwanz kukutamkia maneno machafu huku, nimeshindwa kuvumilia
Wemsenge sana, maneno machafu ni Jadi ya mtu Sawa Sawa kalia 🖕🏽 kwanza
 
Tatizo vyuo vimevamiwa Kuna watu wanatakiwa kuwa wapiga debe au Makondakta daladala au vibarua wabeba mizigo sokoni au nzege kwenye majenho wanaomba kusoma IT vyuoni na kupoteza Bure pesa za ada za wazazi wao

Ushauri acha chuo nenda kawe mpiga debe au msukuma mkokoteni au kibarua mbeba nzege kwenye majengo
Shotocan ni ugeni tu kumbe ulikuwa unanisumbua
 
Nimeianza IT Rasmi, naiona Rahisi ila ya moto, wanvyofundisha sielewi kabisa yaani, darasani kama ni mtihani tukipewa leo au siku yoyte, basi mimi nitakuwa ni mmojawapo wa wanafunzi waliofanya vibaya darasani,

Jamani naombeni mnishauri jamani,

SASA BASI.....

Tukija upande wa practical sasa ukiachana na ma operating system kuyakariri, nipo vizuri japokuwa so kivile, kidogo najitahidi kutatua changamoto ndogondogo za kiteknolojia pale simu zao zinapopata shida,

Naombeni ushauri jamani halafu pia mapenzi yananitesa nashindwa kuacha japokuwa sijatongoza msichana yeyote tangu nianze masomo october mwaka huu,

Pia mimi ni level 4

Nasema ukweliii mapenzi yananitesaaaa na ndio chanzo cha mimi kutokuelewa class nahisi, naombeni mnishauri kak zangu na dada zangu.
Nenda kanunue malaya pale kitambaa cheupe mara tatu.

Huo upuuzi wa mapenzi utauacha mara moja
 
Back
Top Bottom