Nahisi kusoma kwangu ni bure, bora ningebaki tu nyumbani

Nahisi kusoma kwangu ni bure, bora ningebaki tu nyumbani

Namna rahisi ya kufaulu vyuo vya bongo jiingize group discussions, muwe mnasolve past paper tena lenga group za wale wanaojiweza darasani ambao hawapitwi na kecture, style hii nilijionea ikiwasaidia sana hata watu wenye uwezo mdogo darasani walikuwa hawazijui C.

kujipigia msuli jivyako na kusoma notes za mwalimu ni mambo ya sekondari, chuoni unaweza ukaingia kila kipindi lakini kama huna discussio s kutoboa ni ngumu labda uwe natural genius.

Vyuo vya bongo rahisi sana sema watu wavivu kwenda group discussion, wanaanza kujazana mitihani ikikaribia
 
Nimeianza IT Rasmi, naiona Rahisi ila ya moto, wanvyofundisha sielewi kabisa yaani, darasani kama ni mtihani tukipewa leo au siku yoyte, basi mimi nitakuwa ni mmojawapo wa wanafunzi waliofanya vibaya darasani,

Jamani naombeni mnishauri jamani,,,,,,,

SASA BASI.....

Tukija upande wa practical sasa ukiachana na ma operating system kuyakariri, nipo vizuri japokuwa so kivili, kidogo najitahidi kutatua changamoto ndogondogo za kiteknolojia pale simu zao zinapopata shida,

NAOMBENI USHAURI JAMANI ALAF PIA MAPENZI YANANITESA NASHINDWA KUACHA JAPOKUWA SIJATONGOZA MSICHANA YEYOTE TANGU NIANZE MASOMO OCTOBER MWAKA HUu,
Pia mm ni level 4[emoji23][emoji23][emoji23]

nasema ukweliii... mapenzi yananitesaaaa... na ndio chanzo cha mimi kutokuelewa class nahisi, naombeni mnishauri kak zangu kwa dada zangu.......
Level 4? 🖕🏽🖕🏽🖕🏽🖕🏽🖕🏽🖕🏽 Acha Chuo kachome chips ndio kazi unayoiweza
 
Tukija upande wa practical sasa ukiachana na ma operating system kuyakariri, nipo vizuri japokuwa so kivili, kidogo najitahidi kutatua changamoto ndogondogo za kiteknolojia pale simu zao zinapopata shida,
Haya mambo sio ya kuyakariri ukayapenda na ukayafanya practically utayaelewa....

Hayo mengine uchaguzi ni wako, ukiyacomplicate maisha yatakutoa knockout...
 
IT nikitu nilichokuwa nakipenda na sijawahi kuwa kilaza darasani na kipindi cha mtihani hadi maadui wanakuwa marafiki ili mkae wote

Dogo mimi nilianza NTA 4 na bado naemdelea na safari ila sijawahi kufanya sup wala kucarry na nimewahi tolewa kwenye chumba cha mtihani kisa kumsaidia mwenzangu na mimi nilikuwa sijamaliza ila bado si kusap

Tatizo mnavamia kozi soma unachopenda kijana hapo utajitolea

Mapenzi bwana sijui kwa sababu sina pesa ila ni majanga nimetulia tu ninademu kama sina 😂😂😂
 
Aisee ukiendelea na mtazamo huu hata ukimaliza hiyo shule utaishia kuwa mchoma CD na kuweka nyimbo na muvi kwenye flashi ...pambana dogo na jiamini...ukienda kwa kukariri kwenye IT utaenda na maji
 
Tatizo vyuo vimevamiwa Kuna watu wanatakiwa kuwa wapiga debe au Makondakta daladala au vibarua wabeba mizigo sokoni au nzege kwenye majenho wanaomba kusoma IT vyuoni na kupoteza Bure pesa za ada za wazazi wao

Ushauri acha chuo nenda kawe mpiga debe au msukuma mkokoteni au kibarua mbeba nzege kwenye majengo
Ili tuwe wengi
 
Utazoea tu dogo, kaka yako nimecarry database, mnadhani IT mnaenda kusoma adobe🤣
Nashukuru Mungu Dem niliemwelewag alichukuliwa na msela badae wakabwagana, Saiv na me nmepanda Bei, nmetokea kumchukia na masomo yamekubali , jaman mapepo yapo🙌
 
Back
Top Bottom