Nahisi kusoma kwangu ni bure, bora ningebaki tu nyumbani

Namna rahisi ya kufaulu vyuo vya bongo jiingize group discussions, muwe mnasolve past paper tena lenga group za wale wanaojiweza darasani ambao hawapitwi na kecture, style hii nilijionea ikiwasaidia sana hata watu wenye uwezo mdogo darasani walikuwa hawazijui C.

kujipigia msuli jivyako na kusoma notes za mwalimu ni mambo ya sekondari, chuoni unaweza ukaingia kila kipindi lakini kama huna discussio s kutoboa ni ngumu labda uwe natural genius.

Vyuo vya bongo rahisi sana sema watu wavivu kwenda group discussion, wanaanza kujazana mitihani ikikaribia
 
Level 4? 🖕🏽🖕🏽🖕🏽🖕🏽🖕🏽🖕🏽 Acha Chuo kachome chips ndio kazi unayoiweza
 
Tukija upande wa practical sasa ukiachana na ma operating system kuyakariri, nipo vizuri japokuwa so kivili, kidogo najitahidi kutatua changamoto ndogondogo za kiteknolojia pale simu zao zinapopata shida,
Haya mambo sio ya kuyakariri ukayapenda na ukayafanya practically utayaelewa....

Hayo mengine uchaguzi ni wako, ukiyacomplicate maisha yatakutoa knockout...
 
IT nikitu nilichokuwa nakipenda na sijawahi kuwa kilaza darasani na kipindi cha mtihani hadi maadui wanakuwa marafiki ili mkae wote

Dogo mimi nilianza NTA 4 na bado naemdelea na safari ila sijawahi kufanya sup wala kucarry na nimewahi tolewa kwenye chumba cha mtihani kisa kumsaidia mwenzangu na mimi nilikuwa sijamaliza ila bado si kusap

Tatizo mnavamia kozi soma unachopenda kijana hapo utajitolea

Mapenzi bwana sijui kwa sababu sina pesa ila ni majanga nimetulia tu ninademu kama sina 😂😂😂
 
Aisee ukiendelea na mtazamo huu hata ukimaliza hiyo shule utaishia kuwa mchoma CD na kuweka nyimbo na muvi kwenye flashi ...pambana dogo na jiamini...ukienda kwa kukariri kwenye IT utaenda na maji
 
Ili tuwe wengi
 
Utazoea tu dogo, kaka yako nimecarry database, mnadhani IT mnaenda kusoma adobe🤣
Nashukuru Mungu Dem niliemwelewag alichukuliwa na msela badae wakabwagana, Saiv na me nmepanda Bei, nmetokea kumchukia na masomo yamekubali , jaman mapepo yapo🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…