Nahisi maamuzi haya ni moja ya dhambi zangu, zitakazo nisumbua na kuni tesa kwenye maisha yangu

hahaha, mkuu una wajua ma jobless??, wewe part timer una jiita jobless 😁.

siku tuki onana, Nita kupeleka uwaone ma jobless pro max

Kuna kati yao ni jobless kwa kuamua, yani kuna time akikaa kwenye kazi anatamani kuwa jobless, kama yupo nitaenda kuwaona 😁😁😁

Hata hivyo, pole sana brother kwa yaliyokukuta na naelewa unachopitia maana ukipoteza rafiki ambaye mnashare vingi haswa hustles na ndoto. Kuna sehemu ndani ya nafsi yako inakufa na maisha unaanza kuyaona kwenye uhalisia tofauti

Na wewe kama una guilty ya kifo chake. Hali inakuwa mbaya zaidi lakini natumai utaelewa kuwa, as much as hatuijui kesho kwa uhakika, kama hukuhusika directly na kifo chake bhasi usingeweza kumuepusha nacho. Hiyo ni work of nature so isamehe na kuipuuza concious yako 🙏🏽
 

Umekuza sana neno:

#jobless
 
Hata sijaelewa.

Ndio maana vijana mnakuwa MAJOBLESS.

Kwa mwandiko huu hata ukifanya interview lazima ufeli.

Ubishoo mwingi kuliko POINTS.

Anyway, tuendelee tu kubamizana mashimo, YOU ARE IRREDEEMABLE.

Cc: Poor Brain Extrovert Mbaga Jr FaizaFoxy
Bahati nzuri sija wahi fanya interview mkuu, Nina watu zaidi ya 20 wanao kula ugali kupitia Mimi.

direct and indirect way, mimi jobless pro max.
 
Mimi Sio editor mzuri na ukinitegemea, story unaweza imalizia mwaka kesho maana kupitia details bila kuzimiss ni kipaji.

Ila ya soda unaweza nitumia kwa kukupa moyo humu jf 😁
naangalia stock price ya vision marine Inc. hapa, ipo kwenye nasdaq iko chini ya elfu 5 😆🤣
 
Nita jaribu kaka, japo kila niki muona mama au dada ake naona dhambi niliyo fanya.

maana una sikia, mwanangu ange kuwepo, aisee sio poa.
 
Nita jaribu kaka, japo kila niki muona mama au dada ake naona dhambi niliyo fanya.

maana una sikia, mwanangu ange kuwepo, aisee sio poa.
Hakuna dhambi hapo zaidi ya concious kukutesa. Ni sawa na kumshauri ndugu yako kusomea course flani chuo na yeye akadisco nayo. Utasema wewe ndio sababu, possibly not

Na kwa hali kama yenu kwa nini msimlaumu aliyesababisha ajali maana ana part kubwa zaidi.

Sisemi usiwe responsible ila usichukue mizigo usiyoistahili
 
Hitimisho fupi.
kaka nilicho fanya ni kumuuliza mdogo wake, ange penda kupewa mtaji afanye nini na wapi??.

ame funguliwa saloon sehemu nzuri mno, Kodi ya miezi 6 ime lipwa.
dogo ana issue zake, ila Ile ni Kama extra na Ina walipa kwa maelezo yake.

bado Kuna mchango tuli kubaliana washkaji, tuwe tuna mpa Maza ake.
shida ili kuwa kila niki enda au mpigia simu ana Lia Sana.
ni Kama ana hisi kuishi kwangu ni batili.

shida mama wa Jamaa ni Kama vile ana hisi, au sijui ali ambiwa kuwa baadhi ya vijiwe vya jobless vili kuwa vya mwanae!!
kasha niuliza, eti watu Wana sema. Ika bidi nimpe mkanda mzima.
Ila bado ali niuliza Tena, Eti mwanae ange kuwepo ange sema ukweli. Duh

Dr am 4 real PhD, mshamba_hachekwi, MrsPablo1, Chaliifrancisco naifupisha hapa. Sito malizia Tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…