Nahisi maamuzi haya ni moja ya dhambi zangu, zitakazo nisumbua na kuni tesa kwenye maisha yangu

Yeah uswahili mambo mengi sana. Na hapo msela akifanikiwa kwenye vijiwe mambo yakiwa bam bam anaweza hata kuambiwa alimtoa jamaa kafara.
kaka bora inge kuwa uswahilini, Jamaa kwao ili kuwa standard life fulani ya kiaina.

Nime muuliza mdogo wake Jamaa, we una jua ukweli mueleweshe mama yako.
naye ana sema hamuelewi Maza ake.
 
kaka vyote Vina jina la kibiashara, chini ya jobless pro max ...
Ime sajiliwa since 2021 kaka. na iko katika mfumo wa sole proprietor.
Kama ni sole proprietor it means ownership iko kwako mwenyewe na documents zinaonyesha hivyo sio?

Kama ndio wala usijali ni bora kwanza ukawapotezea tu maana sasa utafanywa chuma ulete maisha yao yote.

Ungewaacha waji adjust wajue namna na kuendelea na maisha.
 
kaka kila kitu kipo, na hata wakili wa familia yetu yupo.

Wao tuli wafungulia ofisi ya salon ya kike, iko vizuri na wateja wengi Wana pata.
bado mchango wa mwezi, still mtu ana ona we sio mtu mzuri.
 
Kwani nini kinaendelea maana ata sielewi, ila pole sana lakini usije kujiingiza kwenye ulevi tuu tafuta vitu vya kufanya vigumu ili vikuumize na kichwa na usipate muda wa kukumbuka hayo yaliyopita na nafikiri unaijua JamiiForum na Youtube 🤣 basi kaaa humo na pia usipende kusikiliza miziki ya huzuni. Please usitafute faraja kwenye pombe na ndugu zake.
 
Pole huwez kuwaridhisha hata ufanyaje acha kujutia kilakitu hupangwa na Mungu
 
It wasn't your fault.. It was nobody's fault. . It was God's plan. Maisha inabidi yaendelee

You bear no malice towards anyone!!
 
Sijui nimezeeka au ni hiki kichwa kimezidi kuwa bogus

Naona nimesoma sielewi kitu nakuta maneno jobless pro max yaliyorudiwa rudiwa tu lakini comment za wenzangu naona wameanza kusikitika na kusema inahuzunisha
Mwana amekimbia kifo amerudi duniani na lugha ya akhera sasa utaielewaje?. Fanya nawe ufe ndio urudi kusoma huu uzi ili uelewe 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…