Nahisi mama mkwe wangu ni vampire

Duh!
Nna mashaka ni mshirikina mkwe wako
Kwanzia Sasa Kua makini na nyendo za mkeo
 
Kwahiyo we mzee na umri wako huo, tabia za mama mkwe wako ndo umezijua jana?

Hii chai yako sukari haijakolea...
 
Bujibuji mama mkwe wako na WA Nazjaz wamefanana mpaka story yenu imefanana 😅😅😅😅

 
Ndo nimeona heeh yan wamefanana hadi mabomba Moderator fanyeni mambo yenu hapa
 
Nadhani Hawa watu ni jamii Moja na Louis Surez. Maana nayeye alikuwa anauma kwenye mashindano.
 
she is demon possesed.. anahitaji msaada wa kiroho.. ni ngome ya shetani hiyo..
 
Ana tatizo la afya ya akili.
Msaidie kwa kumpeleka kwa wataalamu wa afya ya akili.
Nje ya mada
Hivi unawezaje kwenda kukaa ukweni hata kwa hizo siku chache?
 
Hakuna vampire Africa, hizo ni hadithi tu za wazungu.
 
Ilo mkuuu wangu tunaliona kama wewe unavyoliona period

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Hajapigwa mbupu vizuri huyo mama mkwe wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…