Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonekana Hajasuguliwa MDA[emoji28]Nipe namba ya huyo mama mkwe wako.
Ana nyege tu ndio zinazompa hasira kali.
Mm ni mstaafu (over 60+) naamini tunaweza kuelewana Kiutu uzima nikamtuliza hasira na wenge lake.
Kwahiyo we mzee na umri wako huo, tabia za mama mkwe wako ndo umezijua jana?Nimekuja ukweni kuwaleta watoto baada ya kufunga shule Ijumaa ya juzi, waje kwa Bibi yao, Babu yao alishatangulia mbele ya haki.
Hapa mama mkwe anaishi na watoto wake wawili wa kike ambao nao Wana watoto, hivyo basi mama mkwe anaishi na wajukuu zake pia.
Kuna kitu kiko very weird nimekiona. Mama mkwe ni mkali sana, ana hasira sana, akianza kupiga, hasira hazimuishi mpaka amuume na amtoe damu huyo anayempiga ndipo hutulia.
Jana nilipofika, mtoto wa nyumba jirani alikuja kuchota maji hapa, akaondoka akaacha maji yanatiririka bombani, mama mkwe akafoka sana kwa hasira na ukali wa juu.
Akaenda kwenye nyumba jirani akakavuta hako katoto, kakapiga sana kisha akakauma Sana mpaka damu zikamtoka, hakika kamjeruhi mtoto wa watu. Wenye mtoto wamepeka malalamiko serikali ya mtaa kesho kaitwa ofisini akajieleze.
Juzi jumapili mjukuu wake wa form 2 ambaye ni mtoto wa shemeji yangu kasahau biblia Kanisani kwa bahati mbaya, kapigwa Sana, Kisha akamuuma begani, kamuachia kidonda kikubwa Sana.
Nasikia ni kawaida yake kuonja damu kidogo, huwa anajikata kidogo apate damu. Hata akipika nyama anatenga ya kwake anataka iwe haijaiva, iwe nyekundu ndani.
Nilikuwa nimepanga tukae Hadi X mas, lakini kwa haya ninayoyaona, asije pandikiza hayo maroho kwa wanangu, kesho naanza maandalizi ya kurudi.
Je, hivi hili nyie wenzangu mnalionaje?
Bujibuji mama mkwe wako na WA Nazjaz wamefanana mpaka story yenu imefanana 😅😅😅😅Nimekuja ukweni kuwaleta watoto baada ya kufunga shule Ijumaa ya juzi, waje kwa Bibi yao, Babu yao alishatangulia mbele ya haki.
Hapa mama mkwe anaishi na watoto wake wawili wa kike ambao nao Wana watoto, hivyo basi mama mkwe anaishi na wajukuu zake pia.
Kuna kitu kiko very weird nimekiona. Mama mkwe ni mkali sana, ana hasira sana, akianza kupiga, hasira hazimuishi mpaka amuume na amtoe damu huyo anayempiga ndipo hutulia.
Jana nilipofika, mtoto wa nyumba jirani alikuja kuchota maji hapa, akaondoka akaacha maji yanatiririka bombani, mama mkwe akafoka sana kwa hasira na ukali wa juu.
Akaenda kwenye nyumba jirani akakavuta hako katoto, kakapiga sana kisha akakauma Sana mpaka damu zikamtoka, hakika kamjeruhi mtoto wa watu. Wenye mtoto wamepeka malalamiko serikali ya mtaa kesho kaitwa ofisini akajieleze.
Juzi jumapili mjukuu wake wa form 2 ambaye ni mtoto wa shemeji yangu kasahau biblia Kanisani kwa bahati mbaya, kapigwa Sana, Kisha akamuuma begani, kamuachia kidonda kikubwa Sana.
Nasikia ni kawaida yake kuonja damu kidogo, huwa anajikata kidogo apate damu. Hata akipika nyama anatenga ya kwake anataka iwe haijaiva, iwe nyekundu ndani.
Nilikuwa nimepanga tukae Hadi X mas, lakini kwa haya ninayoyaona, asije pandikiza hayo maroho kwa wanangu, kesho naanza maandalizi ya kurudi.
Je, hivi hili nyie wenzangu mnalionaje?
Ndo nimeona heeh yan wamefanana hadi mabomba Moderator fanyeni mambo yenu hapaBujibuji mama mkwe wako na WA Nazjaz wamefanana mpaka story yenu imefanana 😅😅😅😅
Mama mkwe wangu akianza kupiga watoto haachi hadi awaume na damu zitoke
Nimekuja ukweni kuwaleta watoto baada ya kufunga shule Ijumaa ya juzi, waje kwa Bibi yao, Babu yao alishatangulia mbele ya haki. Hapa mama mkwe anaishi na watoto wake wawili wa kike ambao nao Wana watoto, hivyo basi mama mkwe anaishi na wajukuu zake pia. Kuna kitu kiko very weird nimekiona...www.jamiiforums.com
Nadhani Hawa watu ni jamii Moja na Louis Surez. Maana nayeye alikuwa anauma kwenye mashindano.Hawa wazee wetu wana mengi moyoni, hatujui kwanini hawayaweki wazi wakapata msaada.
Hilo la damu ni tatizo. Kuna demu tulisoma naye high school, alikuwa na kesi za kung'ata watu.
Malalamiko yakawa mengi hadi walimu wakamwita, akajitetea kwamba anajikuta tu kauma mtu na tayari damu zinatoka. Hata akikung'ata kidogo tu, lazima utoke damu.
Halafu demu mwenyewe mkali kwelikweli
she is demon possesed.. anahitaji msaada wa kiroho.. ni ngome ya shetani hiyo..Nimekuja ukweni kuwaleta watoto baada ya kufunga shule Ijumaa ya juzi, waje kwa Bibi yao, Babu yao alishatangulia mbele ya haki.
Hapa mama mkwe anaishi na watoto wake wawili wa kike ambao nao Wana watoto, hivyo basi mama mkwe anaishi na wajukuu zake pia.
Kuna kitu kiko very weird nimekiona. Mama mkwe ni mkali sana, ana hasira sana, akianza kupiga, hasira hazimuishi mpaka amuume na amtoe damu huyo anayempiga ndipo hutulia.
Jana nilipofika, mtoto wa nyumba jirani alikuja kuchota maji hapa, akaondoka akaacha maji yanatiririka bombani, mama mkwe akafoka sana kwa hasira na ukali wa juu.
Akaenda kwenye nyumba jirani akakavuta hako katoto, kakapiga sana kisha akakauma Sana mpaka damu zikamtoka, hakika kamjeruhi mtoto wa watu. Wenye mtoto wamepeka malalamiko serikali ya mtaa kesho kaitwa ofisini akajieleze.
Juzi jumapili mjukuu wake wa form 2 ambaye ni mtoto wa shemeji yangu kasahau biblia Kanisani kwa bahati mbaya, kapigwa Sana, Kisha akamuuma begani, kamuachia kidonda kikubwa Sana.
Nasikia ni kawaida yake kuonja damu kidogo, huwa anajikata kidogo apate damu. Hata akipika nyama anatenga ya kwake anataka iwe haijaiva, iwe nyekundu ndani.
Nilikuwa nimepanga tukae Hadi X mas, lakini kwa haya ninayoyaona, asije pandikiza hayo maroho kwa wanangu, kesho naanza maandalizi ya kurudi.
Je, hivi hili nyie wenzangu mnalionaje?
Haya umeshinda! Nimeishia kucheka!!Ikijirudia kuna ubaya? Kimoja tu hakimtoshelezi mwanamke yoyote.
Ki 🧛♂️ vampire ndio hikiAukubhonga ilopa abhanako, monga malopa hujho.
Haya umeshinda! Nimeishia kucheka!!
Mpige kipapai ujue mojaHatari sana. Halafu wenyewe wanaona hali ya kawaida. Kabisa ninaziona roho ovu ndani ya mama mkwe
Ilo mkuuu wangu tunaliona kama wewe unavyoliona periodNimekuja ukweni kuwaleta watoto baada ya kufunga shule Ijumaa ya juzi, waje kwa Bibi yao, Babu yao alishatangulia mbele ya haki.
Hapa mama mkwe anaishi na watoto wake wawili wa kike ambao nao Wana watoto, hivyo basi mama mkwe anaishi na wajukuu zake pia.
Kuna kitu kiko very weird nimekiona. Mama mkwe ni mkali sana, ana hasira sana, akianza kupiga, hasira hazimuishi mpaka amuume na amtoe damu huyo anayempiga ndipo hutulia.
Jana nilipofika, mtoto wa nyumba jirani alikuja kuchota maji hapa, akaondoka akaacha maji yanatiririka bombani, mama mkwe akafoka sana kwa hasira na ukali wa juu.
Akaenda kwenye nyumba jirani akakavuta hako katoto, kakapiga sana kisha akakauma Sana mpaka damu zikamtoka, hakika kamjeruhi mtoto wa watu. Wenye mtoto wamepeka malalamiko serikali ya mtaa kesho kaitwa ofisini akajieleze.
Juzi jumapili mjukuu wake wa form 2 ambaye ni mtoto wa shemeji yangu kasahau biblia Kanisani kwa bahati mbaya, kapigwa Sana, Kisha akamuuma begani, kamuachia kidonda kikubwa Sana.
Nasikia ni kawaida yake kuonja damu kidogo, huwa anajikata kidogo apate damu. Hata akipika nyama anatenga ya kwake anataka iwe haijaiva, iwe nyekundu ndani.
Nilikuwa nimepanga tukae Hadi X mas, lakini kwa haya ninayoyaona, asije pandikiza hayo maroho kwa wanangu, kesho naanza maandalizi ya kurudi.
Je, hivi hili nyie wenzangu mnalionaje?
Ndio nini?period
Nikupe namba zake?Hajapigwa mbupu vizuri huyo mama mkwe wako.