Nahisi maumivu baada ya kugundua viashiria vya Usaliti

Nahisi maumivu baada ya kugundua viashiria vya Usaliti

clearmind

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
813
Reaction score
1,913
Habarini ndugu zangu?

Kuna binti ambaye nimekaa nae kwenye uchumba kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa. Ana miaka 24. Baada ya kupitia msoto wa kiuchumi kwa miezi miwili hivi, kiukweli amekuwa karibu na mimi kwa msaada wa fedha ndogondogo hizi bila shida. Jumapili iliyopita aliniomba tuonane kwa mazungumzo na nikakubali maana imekuwa utaratibu wa kawaida tu kuonana na kuongea. Tumekuwa na kawaida ya kushea simu. Siku hiyo nimeomba simu yake kuitumia akakataa kabisa kwamba inaonekana kama simuamini. Nikaacha.

Majira ya jioni nikamsindikiza stendi kisha nikamuaga kuaondoka lakini baada ya kuachana nae, moyo ukanisukuma kurudi. Niliporudi, alikuwa bado kwenye foleni kupanda gari lakini alikuwa busy akiandika sms kwenye simu yake. Nikajisogeza taratibu nikakaa nyuma yake kwenye ile foleni. Daah! Nilichokiona! alikuwa akichati na jamaa ambae alikuwa anamshtumu kwa kutokufika gheto kama walivyokubaliana huku mchumba akiomba radhi kwmba amekuwa busy kazini na ndo anarejea nyumbani.

Kiukweli, sikuvumilia, palepale nilimdaka nikamtia makofi kisha nikaondoka. Ile taarifa amewaambia hadi nyumbani kwao na mama yake alinipigia nikaongea nae kuhusu hillo. Nilitaka kujiridhisha zaidi, nikamtembelea tena kazini kwake bila taarifa. Nikachukua tena simu yake na ninakuta huyo jamaa amesiviwa kwa jina la kike. Nimeivunja vunja hiyo simu na naamini mapenzi yamefika mwisho japo nahisi maumivu sana.

Nilimpenda sana!
 
Habarini ndugu zangu?

Kuna binti ambaye nimekaa nae kwenye uchumba kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa. Ana miaka 24. Baada ya kupitia msoto wa kiuchumi kwa miezi miwili hivi, kiukweli amekuwakaribu na mimi kwa msaada wa fedha ndogondogo hizi bila shida. Jumapili iliyopita aliniomba tuonane kwa mazungumzo na nikakubali maana imekuwa utaratibu wa kawaida tu kuonana na kuongea. Tumekuwa na kawaida ya kushea simu. Siku hiyo nimeomba simu yake kuitumia akakataa kabisa kwamba inaonekana kama simuamini. Nikaacha.

Majira ya jioni nikamsindikiza stendi kisha nikamuaga kuaondoka lakini baada ya kuachana nae, moyo ukanisukuma kurudi. Niliporudi, alikuwa bado kwenye foleni kupanda gari lakini alikuwa busy akiandika sms kwenye simu yake. Nikajisogeza taratibu nikakaa nyuma yake kwenye ile foleni. Daah! Nilichokiona! alikuwa akichati na jamaa ambae alikuwa anamshtumu kwa kutokufika gheto kama walivyokubaliana huku mchumba akiomba radhi kwmba amekuwa busy kazini na ndo anarejea nyumbani.

Kiukweli, sikuvumilia, palepale nilimdaka nikamtia makofi kisha nikaondoka. Ile taarifa amewaambia hadi nyumbani kwao na mama yake alinipigia nikaongea nae kuhusu hillo. Nilitaka kujiridhisha zaidi, nikamtembelea tena kazini kwake bila taarifa. Nikachukua tena simu yake na ninakuta huyo jamaa amesiviwa kwa jina la kike. Nimeivunja vunja hiyo simu na naamini mapenzi yamefika mwisho japo nahisi maumivu sana. Nilipmenda sana!
Umaskini wako utakufanya uende jela, sasa kama anakusaidia hela ujue kuna mtu anawahudumia wewe na mpenzi wako
 
Back
Top Bottom