Nahisi maumivu baada ya kugundua viashiria vya Usaliti

Kulikuwa hakuna haja ya kuvunja simu na kupiga. Ungechukua hamsini zako kimyakimya.
 
Manzi ya twn unataka kula mwenyewe mzeebaba..?? 🤣. Ongeza juhudi kwenye kusaka mapene, bila hivo, kuna uwezekano mkubwa tukio kama hili litajirudia siku za usoni.
Inabidi uishi ukitambua kuwa mwenye hela kukuzidi ana 80% chance ya kula manzi yako
 
Uchumba gani unaochukua mwaka mzima?
Kwa kizazi chenu cha dot.com uchumba unatakiwa usizidi miezi mitatu!
Bint ana kazi anakupiga tafu hela ya kujikimu bado unangoja ajira ndiyo uoe?
Harafu uje ushangae huenda una michepuko kibao! Kosa yeye tu.
Vijana wa siku hizi mna matatizo!
 
Una umri gani? We ulitakiwa kumshukuru Mungu kwa kukufunulia akili jinsi alivyo mchumba wako badala ya kumpiga.Kuna watu wameoa wauza baa na wanaishi maisha ya amani baada ya kujuana tabia
 
Unaharibu sifa ya UANAUME
 
Suspect Anyone trust no body . Dunia haina huruma na masikini iwe mwanamke au mwanaume, mwisho kabisa tuhangaikie maisha yetu ukiona mapenzi yamekukataa achana nayo


Period.
 
React like a man,not like a boy
 
React like a man,not like a boy
Yaani Hadi unamvunjia simu kwa Lisa gani?
Namba anayo kichwani hivyo km Ni ku cheat ata cheat tuuu,
Inabidi uache reaction za namna hiyo.
Ukishajua anakulaghai unamwambia ukweli mnaachana fresh.
 
Mwanamke huja muoa, Unamvunjia simu mara unampiga for what for? Kama amekushinda jichomoe taratibu bila kelelw
 
Unayumbayumba tu kiuchumi, unalelewa na mwanamke.. kijana wa hovyo kapige nyeto huko tulishawaambia KATAA NDOA
 
Eti nikamchapa makofi, hivi ujasiri wa kupiga mwanamke mnatoaga wapi jifunze kuheshimu wanawake, nikiwa raisi naanza na wewe kukusukuma ndani
 
Pambafu kweli wewe

Huyo mwanamke angekupeleka polisi ufunguliwe kesi ya shambulio la mwili ukanyee ndoo
 
Wewe una hatari kiongozi, Huna ela na unapenda,

Acha kushare au kuangalia simu ya mwanamke huo ni ujinga.

Kupiga mwanamke pia ni udhaifu mkubwa saana.

Nikuambie tu kitu, hakuna mwanamke yyt duniani kwenye mapenzi anatakiwa apendwe..
 
Kwa jiji la dar kupata mwanamke alietulia na mwanaumme 1 ni ngumuu sanaaa.
Labda uwe vizuri kiuchumi na hivyo uyo atakaetulia na ww umkute ni bikra vyenginevyo kugongewa hakukwepe
Umenena vema kusema ni ngumu sana,maana ndio ukweli wenyewe. Lakini Mimi ni miongoni mwa waliopata Soulmate hapa hapa dar tena nikiwa kapuku niliyedharaulika mitaani. Lakini kwa sasa ni kama nipo dunia mpya kabisa!. Ashukuriwe aliye juu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…