Nahisi mke mwenzangu anachepuka

Nahisi mke mwenzangu anachepuka

Kweli nilikosea kuandika naomba msaada kichwa kibadilike
 
Mimi nimea ,Nina mke na watoto,kazi yangu ni kazi ya kusafiri safiri ,Huwa ni siku chache sana naweza kupata nafasi ya kuwa nyumbani na familia.tatizo nimeanza kuona mabadiliko Kwa mwenzangu , kwenye masuala mbali mbali,yaani hata anavyojibu maswali,sioni kama mwenzangu anashauku na familia kama mwanzo,Sasa hivi Huwa anachelewa sana kurudi job na Huwa sababu ninazopata ni kuwa kazi ni nyingi,ilihali naifahamu kuwa kazini kwao mida ya saa kumi wanakuwa wamemaliza majukumu.kwenye simu hataki tena niguse simu yake ,though sijawahi kukuta kama Kuna dalili ya kusema Kuna mtu anachati naye,nimeshamchunguza sana sioni kama Kuna dalili ya kuwasiliana na mtu yeyote ila ninavyohisi ni kama napigwa na kitu kizito kichwani.nikijaribu kumweleza anasema hawezi kufanya kitu cha namna hiyo ingawa naona hisia zangu zinanituma kuwa Kuna jambo halipo sawa.Mimi naona ni Bora mtu kuwa single .Sasa wadau ni namna Gani naweza kuthibitisha haya mashaka yangu?ni aina Gani ya technolojia inaweza kujisaidia?

Nimepitia comment zako nikiri wazi huyu mtu whether ni mwanamke ama mwanaume ila dishi limeyumba, ndo maana wanakusumbua wewe
 
Trust your guts . Angalia recently deleted messages , archived chats , na recently deleted calls . Utashangaa . I had the same situation . Upo sahii . Ni swala la mda tu
Mkuu unaangaliaje hii kitu please!!
 
Trust your guts . Angalia recently deleted messages , archived chats , na recently deleted calls . Utashangaa . I had the same situation . Upo sahii . Ni swala la mda tu
Unaangaliaje hizi recently deleted messages and calls? Unaenda kubonyeza wapi?
 
Mimi nimea ,Nina mke na watoto,kazi yangu ni kazi ya kusafiri safiri ,Huwa ni siku chache sana naweza kupata nafasi ya kuwa nyumbani na familia.tatizo nimeanza kuona mabadiliko Kwa mwenzangu , kwenye masuala mbali mbali,yaani hata anavyojibu maswali,sioni kama mwenzangu anashauku na familia kama mwanzo,Sasa hivi Huwa anachelewa sana kurudi job na Huwa sababu ninazopata ni kuwa kazi ni nyingi,ilihali naifahamu kuwa kazini kwao mida ya saa kumi wanakuwa wamemaliza majukumu.kwenye simu hataki tena niguse simu yake ,though sijawahi kukuta kama Kuna dalili ya kusema Kuna mtu anachati naye,nimeshamchunguza sana sioni kama Kuna dalili ya kuwasiliana na mtu yeyote ila ninavyohisi ni kama napigwa na kitu kizito kichwani.nikijaribu kumweleza anasema hawezi kufanya kitu cha namna hiyo ingawa naona hisia zangu zinanituma kuwa Kuna jambo halipo sawa.Mimi naona ni Bora mtu kuwa single .Sasa wadau ni namna Gani naweza kuthibitisha haya mashaka yangu?ni aina Gani ya technolojia inaweza kujisaidia?
Kichwa cha habari, mke mwenzako

Content, umeoa.
 
Mnununlie simu mpya tuifanyie hacking, kisha mpe kama zawadi.
 
Bado unahangaika na mwanamke mkuu? Angalia sana usije kufa siku si zako.
 
Unasema umeoa, vipi tena awe mke mwenzio kama bichwa lako la habari linavyosema?

Mwenye mke mwenzie ni yule ambae na yeye kaolewa na mume huyohuyo.

Inchukuwa muda watu wenye lugha mama zisizo Kiswahili kuja kukiongea na kukiandika ipasavyo.

Jichanganye sana na Waswahili.
 
Teknolojia ya nini, Mbona ni simple tu! Nakushauri anzia hapa, si unasema anachelewa kutoka job, then fanya hivi kodi pikipiki, pozi nje ya office yake ambayo utaona kila anayeingia na kutoka then utakapomuona anatoka/panda gari ya mtu unga tela.
Kama hukumuona then May be amepanda gari yenye tinted, so watu wote ukiona wameisha toka na yeye hujamuona nenda kamuulize mlinzi.
Nakutakia mafanikio mema kwenye fumanizi!

Kuanza kumuuliza mlinzi ni mambo ya aibu. Utamjengea reputation mbaya mke wako ofisini. Walinzi wenyewe hao wambea kweli. Pâmons na uchunguzi wako Linda reputation ya partner wako.kuuliza uliza watu sio sahihi

Kodi boda ya mbali muelekeze/ mpeleke hapo ofisini ya mke wako na apajue na amjue wife wako then mpe assignment.

Akupe report kila siku Kona Zake zote na watu anaongea nao physically kwenye route zake

boda they know better hizi kazi . Na utapata report safi with hard evidence.

Mpe kazi ya siku tatu tu , amfuatilie muda anaoingia na kutoka. Na route zote

Usikute hata hiyo asubuhi haendi ofisini, anaenda kutoa fluids tu .

Kama ana gari nunua ile device voice recorder , kifiche kwenye gari, it records 24 hours voice ; kila anachoongea kwenye gari akiwa alone , you get it . Utasikia all her talks na hata kama anakulana kwa gari utasikia

Ou else. Buy gps recorder , weka hata kwa bonnet kiegeshe, it will give every movement yake anayopiga

Au kama una AppStore , download ile apps ya ku capture activities za simu zake then hide hiyo apps then turn off its notifications. The same apps installs kwa simu yako

You will get every info before she deletes
Hata wasap zake unasoma
Calls unasikiliza
Normal sms unasoma

You can even reply kwa sms anazotumiwa

You can access screen ya simu yake from distant

Those apps ni monthly payments kwa AppStore but less than 10 USD

WHY upate shida with abundance of technology

Hizo zote ukishindwa……. Fanya mpango wa kuingilia calls zake zote na SMS kwa service provider

it is possible but costly
 
Back
Top Bottom