khaligraph
JF-Expert Member
- Nov 19, 2016
- 1,141
- 1,057
Sio time wanamla uyo ama ashaliwa tayar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nimea ,Nina mke na watoto,kazi yangu ni kazi ya kusafiri safiri ,Huwa ni siku chache sana naweza kupata nafasi ya kuwa nyumbani na familia.tatizo nimeanza kuona mabadiliko Kwa mwenzangu , kwenye masuala mbali mbali,yaani hata anavyojibu maswali,sioni kama mwenzangu anashauku na familia kama mwanzo,Sasa hivi Huwa anachelewa sana kurudi job na Huwa sababu ninazopata ni kuwa kazi ni nyingi,ilihali naifahamu kuwa kazini kwao mida ya saa kumi wanakuwa wamemaliza majukumu.kwenye simu hataki tena niguse simu yake ,though sijawahi kukuta kama Kuna dalili ya kusema Kuna mtu anachati naye,nimeshamchunguza sana sioni kama Kuna dalili ya kuwasiliana na mtu yeyote ila ninavyohisi ni kama napigwa na kitu kizito kichwani.nikijaribu kumweleza anasema hawezi kufanya kitu cha namna hiyo ingawa naona hisia zangu zinanituma kuwa Kuna jambo halipo sawa.Mimi naona ni Bora mtu kuwa single .Sasa wadau ni namna Gani naweza kuthibitisha haya mashaka yangu?ni aina Gani ya technolojia inaweza kujisaidia?
Mkuu unaangaliaje hii kitu please!!Trust your guts . Angalia recently deleted messages , archived chats , na recently deleted calls . Utashangaa . I had the same situation . Upo sahii . Ni swala la mda tu
Unaangaliaje hizi recently deleted messages and calls? Unaenda kubonyeza wapi?Trust your guts . Angalia recently deleted messages , archived chats , na recently deleted calls . Utashangaa . I had the same situation . Upo sahii . Ni swala la mda tu
Kichwa cha habari, mke mwenzakoMimi nimea ,Nina mke na watoto,kazi yangu ni kazi ya kusafiri safiri ,Huwa ni siku chache sana naweza kupata nafasi ya kuwa nyumbani na familia.tatizo nimeanza kuona mabadiliko Kwa mwenzangu , kwenye masuala mbali mbali,yaani hata anavyojibu maswali,sioni kama mwenzangu anashauku na familia kama mwanzo,Sasa hivi Huwa anachelewa sana kurudi job na Huwa sababu ninazopata ni kuwa kazi ni nyingi,ilihali naifahamu kuwa kazini kwao mida ya saa kumi wanakuwa wamemaliza majukumu.kwenye simu hataki tena niguse simu yake ,though sijawahi kukuta kama Kuna dalili ya kusema Kuna mtu anachati naye,nimeshamchunguza sana sioni kama Kuna dalili ya kuwasiliana na mtu yeyote ila ninavyohisi ni kama napigwa na kitu kizito kichwani.nikijaribu kumweleza anasema hawezi kufanya kitu cha namna hiyo ingawa naona hisia zangu zinanituma kuwa Kuna jambo halipo sawa.Mimi naona ni Bora mtu kuwa single .Sasa wadau ni namna Gani naweza kuthibitisha haya mashaka yangu?ni aina Gani ya technolojia inaweza kujisaidia?
Mnununlie simu mpya tuifanyie hacking, kisha mpe kama zawadi.Mimi nimea ,Nina mke na watoto,kazi yangu ni kazi ya kusafiri safiri ,Huwa ni siku chache sana naweza kupata nafasi ya kuwa nyumbani na familia.tatizo nimeanza kuona mabadiliko Kwa mwenzangu , kwenye masuala mbali mbali,yaani hata anavyojibu maswali,sioni kama mwenzangu anashauku na familia kama mwanzo,Sasa hivi Huwa anachelewa sana kurudi job na Huwa sababu ninazopata ni kuwa kazi ni nyingi,ilihali naifahamu kuwa kazini kwao mida ya saa kumi wanakuwa wamemaliza majukumu.kwenye simu hataki tena niguse simu yake ,though sijawahi kukuta kama Kuna dalili ya kusema Kuna mtu anachati naye,nimeshamchunguza sana sioni kama Kuna dalili ya kuwasiliana na mtu yeyote ila ninavyohisi ni kama napigwa na kitu kizito kichwani.nikijaribu kumweleza anasema hawezi kufanya kitu cha namna hiyo ingawa naona hisia zangu zinanituma kuwa Kuna jambo halipo sawa.Mimi naona ni Bora mtu kuwa single .Sasa wadau ni namna Gani naweza kuthibitisha haya mashaka yangu?ni aina Gani ya technolojia inaweza kujisaidia?
Kujitafutia stress tu
Kwahiyo ni mke mwenzio au ni mkeo????
Hebu andika vizuri basi
🤣🤣🤣We mkorofi[emoji23][emoji23][emoji23]
Teknolojia ya nini, Mbona ni simple tu! Nakushauri anzia hapa, si unasema anachelewa kutoka job, then fanya hivi kodi pikipiki, pozi nje ya office yake ambayo utaona kila anayeingia na kutoka then utakapomuona anatoka/panda gari ya mtu unga tela.
Kama hukumuona then May be amepanda gari yenye tinted, so watu wote ukiona wameisha toka na yeye hujamuona nenda kamuulize mlinzi.
Nakutakia mafanikio mema kwenye fumanizi!