Nahisi mke wangu anachepuka

Nahisi mke wangu anachepuka

Umewahi kuwa na Mwanamke wa kibena mpaka iseme wanawake wa kibena ni jeuri . Wanawake wakibena wanajulikana kama wanawake wavumilivu na watiifu
Yah halafu malimbukeni, nilikuwa nako kamoja tangu kanasoma kalipoajiriwa nikapigwa chini kinyama sana

Nawajua
 
Nawajua wabena, nilishindwana na mwanamke wa kibena na mpaka sasa niko ubenani mwaka wa 10 huu

Jitahidi uwadanganye wengine
So umeshindwana na mmoja? Ndiyo umepata hitimisho?


Kamuulize mleta uzi kama mkewe ni mbena
 
So umeshindwana na mmoja? Ndiyo umepata hitimisho?


Kamuulize mleta uzi kama mkewe ni mbena
Acha kuchanganya nyuzi za watu wawili tofauti boss.

Mwenye huo mrejesho ana Uzi wake mwingine aliuleta jana.
 
Nyakati hizi imekuwa ngumu kuwatofautisha makahaba na wanandoa maana wote wananena lugha moja na matendo yanayofanana.......

Nyakati hizi kuoa sio jambo la kheri tena....linaweza likawa ndio tiketi yako ya kukupeleka kabulini au jela kutegemeana kiwango chako cha UVUMILIVU............
point mkuu
 
Dadekii hizi ndoa tutaoa kweli
Ndoa za watoto ndio shidaa sie tupo kwenye ndoa mwaka wa 14 huu hakuna hofu ya kumegewa.
Sa hivi nipo huku JNHPP mwezi wa 2 huu natafuta pesa ikifika miezi naenda fanya show ya kibabe wiki nzima then narudi kusongesha.
 
Acha kuchanganya nyuzi za watu wawili tofauti boss.

Mwenye huo mrejesho ana Uzi wake mwingine aliuleta jana.
Hujaelewa wapi chief? Namuambia niliyemquote aingie kwenye huo uzi wa mrejesho amuulize mleta uzi kama mkewe ni mbena.
 
Nawajua wabena, nilishindwana na mwanamke wa kibena na mpaka sasa niko ubenani mwaka wa 10 huu

Jitahidi uwadanganye wengine
Kweli asee hata huku tupo naye mbena jeuri kweli Afu hatabiriki siku akiamka vibaya utaoga matusi bila sababu
 
Ulimkuta bikra au uliendeleza kucheza ligi ya masela?
 
Back
Top Bottom