Nahisi mke wangu anachepuka

Nahisi mke wangu anachepuka

Vumilieni wanangu hali ya sasa siyo
Shida vijana hawajui maana ya ndoa Afu hawatimizi ipasavyo majukumu yao so mda mwingi wanawaza kuchapiwa!!!
Jingine lile depo letu la Jando na Unyango limepigwa teke wanakumbatia mambo ya mitandao zaidi.....
Tutaendelea shuhudia sana sana ndoa za mwendo kasi mwezi 1 watu wanapigana chini
 
Manzi akishakuambia akiwa na muda atakuambia ni suala la ww kujiongeza tu na kutuma vocha kwa mpesa, cku ya pili msalimie kwa SMS utashangaa atakavyo kuchatisha ili tu umlengeshe kwenye kukutana kwenu, dem mwenye msimamo wake kwanza ukimsumbua tu unakula block.
Hakuna demu mwenye msimamo
 
Naendeleaaa

Alivyofika Morogoro Akanijuza kuwa kafika nikaongea na mzee wake na nikamueleza ukweli ili amkanye mwanae akanijibu atalifanyia kazi, nikaendelea na mishe zangu kama kawaidaa.

Baada ya siku tatu akaanza kusumbua ili arudi sim kila saa anadai anataka kurud kwake maisha ya kwao hayawez alizoea kwangu nikawa namhoji mambo ya kijinga kaacha? Akawa anajibu kaacha na mimi nikamjibu acha akae kama wiki mbili af ntamtumia nauli akajibu fresh.

Kwa usafiri wa TAZARA ni 16800. Baada ya wiki mbili nikamtumia naul akakata tiketi huyoooo Akaja kwake. Kufika huku akawa kama kajifunza Adabu zote akawa nazo nikajisifia kumbe na mimi najua kufundisha na kuadabisha wanawake.

Narudi kuhitimisha why naandika huu uzi ili niombe Ushauri.
Kama hujamuoa piga chini kama umemuoa mpe likizo kwanini unajipa jaka la moyo
 
Afu sikuhiz mbona ni suala LA kawaida sana,mi nadhan tushauriane tu wadada tunapochepuka tusisahau majukumu yetu juu ya waume zetu,kama wao wafanyavyo wanachepuka na majukumu wanatimiza.Angebandika tu maji ya kuoga
 
Naendelea...

Alivyofika dar maisha yakaendelea kama kawaida. kwa siku za mwanzo hakuonesha mabadiliko yoyote ad nkajisifu kuwa nimefanikisha kumbadilisha kukbe nilikua najiongopea tu.

Kuna kijitabia akakianza, Ukitaka kumdinya kama ndio kwanza kamalza kula bas hataki ad chakula kishuke na mimi mda huo nakua nimetoka job kwaio nikijilegeza tu kitandan usingizi huooooo ad morning na nikimwamsha asubuh nikitaka kudinya bas ooh tumbo linaniuma sababu kibaaaao nikawa najiulza huyu ana nn.

Nikabadili mbinu nikawa nachelewa kurud kusud ili nikifike nimkute ashakula na kama chakula kishashuka chini ili nikitaka kudinya asiweke visababu vyake... kwel nilifanikisha kama mara kadhaa hivi lakini sometimes sababu ya tumbo kumuua ikawa haiishi japokua sometimes akiamua bas utakaa kifuani hata lisaa ba nusu japokua sijisifii lakini ndio nilivyoo sina show ya dakika 20 ni kuanzia dakik40 kwenda mbeleee..

Basi sometimes namuulza mbona unapenda kuweka vijisababu kibaaaaao na kama skutoshelezi si useme niongeze Bas jibu lake ni moja tu " Ningekua siridhiki ningekua nishaondoka kwetu na unavyoniona nipo hapa ujue naridhika" sasa najiulza kwann aweke vijisababu kibaaao nikitaka kumdinya.

Sasa jana nafika home kama kawaida Nikamkuta anaangalia Tamthilia Kumwambia Abandike maji ya kuoga akajibu Staki kumuulza kwann Anasema ningemtaarif kabla sjafika home.

Nikachomoa mkanda nikamchalaz kweli kweli af nikaandaa maji ya kuoga kama kawaida nikaenda kukoga nikalala asubuh Kadai anataka kwenda kwao Nimempa naul apande Gar coz Treni ad Jnne Nimemwambia funguo aiache kwa mwenye nyumba mimi huyooo kazini.

Sasa ushauri wenu Mwenzi ujao Naplan ya kupeleka mahari kwao kama tarh 16 or 18 Vp huyu mwanamke anafaa kuolewa au nipige chini japokua nimemtolea barua na kwao najulikana vizur tu. kuhusu kuchepuka mimi sina hizo mambo Sidingi seem nyingne yoyotee...

......Mwisho......
 
Hapo hujamuingiza ndani rasmi anakunyima,akiingia ndani rasmi kitakachofuata ni kuchomana moto.

Jombaa suala la mapenzi ni lako na mwenza wako.utashauriwa hapa lakini ukija ndani mawazo yanarudi kwako.
Za kuambiwa changanya na zako.

Ukijua hitaji lako la kuoa ni nini basi jibu utalipata kama huyo mwanamke anakufaa au hakufai.

Mfano mimi hitaji langu la kuoa ni kwamba nipate u.chi kwa muda muafaka.sasa nikiwekewa vikwazo na kunyimwa maana yake ni kwamba ndoa hiyo hainifai.mkuu jitafute
 
Hahahhahaa ila kuna wanawakr tumetofautiana manyanyaso aise na mateso..mtoa mada una bahati asiee umempata huyo mwanamke...
Eti kudinya😶!yaan ww unatoka tu kazini unataka kumpanda dada wa watu kisa unataka kumuoa? Mapenzi gan hayo jamani? 😀😀! Dizaini unamnyanyasa aisee .uwi ..! Ptu
 
Hahahaha unajisfia kuwa unakaa muda mrefu...aise..mngejua...hv kwann wanaume wachache ndo mnajua saikolojia za wanawake? Unaweza kesha kifuani kumbe mwenzako anakuombea pumzi zikate ufe tu uzikwe..pyee!

Yaani unaonekana mweupeeee....weee kuna wanaumr ukiwaona tu ushakuwa wet..sio ww wakujisifia unakaa kifuani show hata huijui😏
 
Back
Top Bottom