Naendelea...
Alivyofika dar maisha yakaendelea kama kawaida. kwa siku za mwanzo hakuonesha mabadiliko yoyote ad nkajisifu kuwa nimefanikisha kumbadilisha kukbe nilikua najiongopea tu.
Kuna kijitabia akakianza, Ukitaka kumdinya kama ndio kwanza kamalza kula bas hataki ad chakula kishuke na mimi mda huo nakua nimetoka job kwaio nikijilegeza tu kitandan usingizi huooooo ad morning na nikimwamsha asubuh nikitaka kudinya bas ooh tumbo linaniuma sababu kibaaaao nikawa najiulza huyu ana nn.
Nikabadili mbinu nikawa nachelewa kurud kusud ili nikifike nimkute ashakula na kama chakula kishashuka chini ili nikitaka kudinya asiweke visababu vyake... kwel nilifanikisha kama mara kadhaa hivi lakini sometimes sababu ya tumbo kumuua ikawa haiishi japokua sometimes akiamua bas utakaa kifuani hata lisaa ba nusu japokua sijisifii lakini ndio nilivyoo sina show ya dakika 20 ni kuanzia dakik40 kwenda mbeleee..
Basi sometimes namuulza mbona unapenda kuweka vijisababu kibaaaaao na kama skutoshelezi si useme niongeze Bas jibu lake ni moja tu " Ningekua siridhiki ningekua nishaondoka kwetu na unavyoniona nipo hapa ujue naridhika" sasa najiulza kwann aweke vijisababu kibaaao nikitaka kumdinya.
Sasa jana nafika home kama kawaida Nikamkuta anaangalia Tamthilia Kumwambia Abandike maji ya kuoga akajibu Staki kumuulza kwann Anasema ningemtaarif kabla sjafika home.
Nikachomoa mkanda nikamchalaz kweli kweli af nikaandaa maji ya kuoga kama kawaida nikaenda kukoga nikalala asubuh Kadai anataka kwenda kwao Nimempa naul apande Gar coz Treni ad Jnne Nimemwambia funguo aiache kwa mwenye nyumba mimi huyooo kazini.
Sasa ushauri wenu Mwenzi ujao Naplan ya kupeleka mahari kwao kama tarh 16 or 18 Vp huyu mwanamke anafaa kuolewa au nipige chini japokua nimemtolea barua na kwao najulikana vizur tu. kuhusu kuchepuka mimi sina hizo mambo Sidingi seem nyingne yoyotee...
......Mwisho......