Nahisi mke wangu anachepuka

Nahisi mke wangu anachepuka

Tuna miaka 10 ya ndoa na watoto 3 sasa.

Naijua vyema radha ya papuchi yake, navyosema naijua ni kwamba naijua kweli. Mwaka juzi nilihamishiwa mkoani kikazi nikamuacha Dar. Baada ya miezi 3 nirudi home kiukweli radha imekuwa tofauti sana. Tabia haijabadilika na nimemwambia kuwa nahisi unachepuka amekataa kabsa but naona kuna kila dalili za ukweli kwenye hisia zangu.

Nitumie rafiki zake kufatilia

Au niende kikomando


Dah, kuna wanawake wana bahati mbaya ya kuolewa na wapumbavu.
 
Hivi ulitegemea mtu aliezoea kuipata kila akihitaji ataweza kuvumilia miezi mitatu bila mshedede,?!! Wew fanya maarifa uondoke na mkeo tofauti na hapo vumilia yote
 
Kwanza ni udhaifu mkubwa sana kwa mwanaume kumtamkia mkeo kwamba anachepuka bila kua na ushahidi. Kimaadili ni kosa kubwa sana

Ni kawaida kwa mwanamke hasa akiwa na hasira/wivu kumwambia mwenzi wake kua ana wanawake wengine au malaya na wala isiwe na athar yoyote

Kwa mwanaume kusema hayo kwa mwenzako ni mwiko hadi pale utakapokua na ushahidi wenye mashiko na sio huo wa kufikirika/kudhania.

Hivi akikukomalia uthibitishe na ukiitwa kwenye kikao cha usuluhishi utaongea vitu kama hivyo? Umemshalilisha mkeo chief na zaidi unajidhalilisha mwenyewe kwa kutamka haya kwake na hapa hadharani
Hujui machungu ya kutombewa mke Chief
 
Kwanza kiswahili ni ladha sio radha,pili huwezi kutambua kama mkeo analiwa kwa ladha ya papuchi.
Wewe usingemwambia kitu bali ungemtegea,ungemkamata
Mimi ndoa yangu ina miaka 20 na nilimhisi mke wangu anachepuka,nilichofanya,nilimtafuta dada mmoja ambae anatujua nikamla,then nikampa kazi hiyo ya kuchunguza na aliifanya hiyo kazi vizuri mno,nikamjua anayechepuka nae na wapi wanapochepukia,tukaweka mtego na niliwanasa live ila sikufanya fujo yoyote,niliwafumania na nilipepeleka shauri kanisani ambako huyo mke wangu anasifika sana kusali na kushiriki mambo ya kanisa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Timu kataa ndoa njooni hapa
 
Back
Top Bottom