Mamba mweusi
Member
- Jan 13, 2023
- 60
- 94
Nenda kikomand
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda kikomand
Tuna miaka 10 ya ndoa na watoto 3 sasa.
Naijua vyema radha ya papuchi yake, navyosema naijua ni kwamba naijua kweli. Mwaka juzi nilihamishiwa mkoani kikazi nikamuacha Dar. Baada ya miezi 3 nirudi home kiukweli radha imekuwa tofauti sana. Tabia haijabadilika na nimemwambia kuwa nahisi unachepuka amekataa kabsa but naona kuna kila dalili za ukweli kwenye hisia zangu.
Nitumie rafiki zake kufatilia
Au niende kikomando
Kwa hiyo hizo hisia zangu zipo sahihi? Au sipo sahihi
Nilienda hivyo na kufanya maamuzi kitamboNenda kikomando
Pole nilishafanya maamuzi kitambo baada ya kujiridhisha kwa kila aina ya ushahidi.Wewe ni mwendawazimu kabisa, sema kingine, acha kuonea mtoto wa watu wakati huna ushahidi.
Pole nilishafanya maamuzi kitambo baada ya kujiridhisha kwa kila aina ya ushahidi.
Siyo penseli, tango😁Siku wanawake wananjia nyingi sana sio kuchepuka tu hata pencil zinatumika
Hujui machungu ya kutombewa mke ChiefKwanza ni udhaifu mkubwa sana kwa mwanaume kumtamkia mkeo kwamba anachepuka bila kua na ushahidi. Kimaadili ni kosa kubwa sana
Ni kawaida kwa mwanamke hasa akiwa na hasira/wivu kumwambia mwenzi wake kua ana wanawake wengine au malaya na wala isiwe na athar yoyote
Kwa mwanaume kusema hayo kwa mwenzako ni mwiko hadi pale utakapokua na ushahidi wenye mashiko na sio huo wa kufikirika/kudhania.
Hivi akikukomalia uthibitishe na ukiitwa kwenye kikao cha usuluhishi utaongea vitu kama hivyo? Umemshalilisha mkeo chief na zaidi unajidhalilisha mwenyewe kwa kutamka haya kwake na hapa hadharani
Kama umekaa na mwanamke kwa miaka 10 na hujui ladha ya K yake basi una matatizo makubwa sanHapo sawa sasa, huna haja ya kunipa pole wewe fala unayejua ladha ya papuchi...
Timu kataa ndoa njooni hapaKwanza kiswahili ni ladha sio radha,pili huwezi kutambua kama mkeo analiwa kwa ladha ya papuchi.
Wewe usingemwambia kitu bali ungemtegea,ungemkamata
Mimi ndoa yangu ina miaka 20 na nilimhisi mke wangu anachepuka,nilichofanya,nilimtafuta dada mmoja ambae anatujua nikamla,then nikampa kazi hiyo ya kuchunguza na aliifanya hiyo kazi vizuri mno,nikamjua anayechepuka nae na wapi wanapochepukia,tukaweka mtego na niliwanasa live ila sikufanya fujo yoyote,niliwafumania na nilipepeleka shauri kanisani ambako huyo mke wangu anasifika sana kusali na kushiriki mambo ya kanisa
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Kama umekaa na mwanamke kwa miaka 10 na hujui ladha ya K yake basi una matatizo makubwa san