Nahisi mke wangu hanipendi

Ukiiga kunya kwa tembo utapasuka msamba...🤣
Na usipende kuchamba sana mwisho utayashika..😂
Alafu ndoa haitaku kufananisha, ipo siku utaona hakupi yote kama mwajuma...😜
 
Inawezekana na yeye anawaza kua haumpendi.

Maana wenzake waume zao wakiwa wamesafiri hua kila destination points wanapigiwa simu kusimuliwa wamefikia wapi na kujuzwa vivutio wanavyoona ili kuangalia kama next vacation wataenda wapi panapovutia.

Lakini ukimya wako bila kumtaarifu chochote mpaka unafika safari yako unampa wasiwasi na kuhisi huenda haumpendi[emoji848]

My take: Mfanye mke wako kua rafiki na sio mtunza nyumba yako!
 
Huyu Mkeo kashakujua wewe ni msaliti na ni Mla Mbususu, So ni dhahiri Mwanamke kashajishukurria Mungu kuhusu wewe na furaha yake imebaki kwa hao watoto wake mliozaa na ndio maana anawapost😂
 
M-bip kwa siri halafu akikupigie ongea naye kwa bahshasha.

Kama asipopiga, basi mtumie ujumbe wa kupata ajali ya uongo. Mwambie uko hospitali, halafu kiuno chako kimepoteza network na maeneo mengine ya mwili!

Nakuhakikishia faster atakupigia ili kujiridhisha kama hiyo taarifa ni ya kweli, au la.

Ikishindikana kabisa, basi mtumie muamala wa hela, halafu subiria majibu ndani ya dakika chache.
 
Ukute wewe hujawahi kumpigia simu halafu unataka yeye akupigie. Jenga mazoea kitu unachopenda
 
Unataka akupende bila wewe kumpenda?

Ulipompigia hakupokea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…