Nahisi mke wangu hanipendi

Nahisi mke wangu hanipendi

Ukiiga kunya kwa tembo utapasuka msamba...🤣
Na usipende kuchamba sana mwisho utayashika..😂
Alafu ndoa haitaku kufananisha, ipo siku utaona hakupi yote kama mwajuma...😜
 
Inawezekana na yeye anawaza kua haumpendi.

Maana wenzake waume zao wakiwa wamesafiri hua kila destination points wanapigiwa simu kusimuliwa wamefikia wapi na kujuzwa vivutio wanavyoona ili kuangalia kama next vacation wataenda wapi panapovutia.

Lakini ukimya wako bila kumtaarifu chochote mpaka unafika safari yako unampa wasiwasi na kuhisi huenda haumpendi[emoji848]

My take: Mfanye mke wako kua rafiki na sio mtunza nyumba yako!
 
Huyu Mkeo kashakujua wewe ni msaliti na ni Mla Mbususu, So ni dhahiri Mwanamke kashajishukurria Mungu kuhusu wewe na furaha yake imebaki kwa hao watoto wake mliozaa na ndio maana anawapost😂
 
Huyu mwanamke bana nahisi hanipendi wala kunijali kabisa.

Leo mimi na watumishi wenzangu tulikua tuna safari ya kikazi kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine wenzangu njia nzima kuanzia mwanzo wa safari hadi mwp kwa siri, atakupigia tu. Ukiona hapiga, singizia umepata ahali, na muda huo uko hospitali kiuno kimegeuka isho nilikua naskia simu zao zinaita wakiwa wanapigiwa na my wife zao kuulizwa wamefika wapi na mwenendo mzima wa safari yetu kwa ujumla.

Mimi sijapigiwa mpaka muda huu na tayar nishafika niendako.nimemchungulia WhatsApp yupo na ameweka status ya picha za watoto wetu wawili kaandika MY HAPPINESS.

Sasa wakuu hapa kuna haja hata ya kumpigia kumuambia kuwa nimefika au nikaushe tu.

Na je hapa napendwa kweli au niendelee kula tu mbususu za nje?
M-bip kwa siri halafu akikupigie ongea naye kwa bahshasha.

Kama asipopiga, basi mtumie ujumbe wa kupata ajali ya uongo. Mwambie uko hospitali, halafu kiuno chako kimepoteza network na maeneo mengine ya mwili!

Nakuhakikishia faster atakupigia ili kujiridhisha kama hiyo taarifa ni ya kweli, au la.

Ikishindikana kabisa, basi mtumie muamala wa hela, halafu subiria majibu ndani ya dakika chache.
 
Huyu mwanamke bana nahisi hanipendi wala kunijali kabisa.

Leo mimi na watumishi wenzangu tulikua tuna safari ya kikazi kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine wenzangu njia nzima kuanzia mwanzo wa safari hadi mwisho nilikua naskia simu zao zinaita wakiwa wanapigiwa na my wife zao kuulizwa wamefika wapi na mwenendo mzima wa safari yetu kwa ujumla.

Mimi sijapigiwa mpaka muda huu na tayar nishafika niendako.nimemchungulia WhatsApp yupo na ameweka status ya picha za watoto wetu wawili kaandika MY HAPPINESS.

Sasa wakuu hapa kuna haja hata ya kumpigia kumuambia kuwa nimefika au nikaushe tu.

Na je hapa napendwa kweli au niendelee kula tu mbususu za nje?
Ukute wewe hujawahi kumpigia simu halafu unataka yeye akupigie. Jenga mazoea kitu unachopenda
 
Huyu mwanamke bana nahisi hanipendi wala kunijali kabisa.

Leo mimi na watumishi wenzangu tulikua tuna safari ya kikazi kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine wenzangu njia nzima kuanzia mwanzo wa safari hadi mwisho nilikua naskia simu zao zinaita wakiwa wanapigiwa na my wife zao kuulizwa wamefika wapi na mwenendo mzima wa safari yetu kwa ujumla.

Mimi sijapigiwa mpaka muda huu na tayar nishafika niendako.nimemchungulia WhatsApp yupo na ameweka status ya picha za watoto wetu wawili kaandika MY HAPPINESS.

Sasa wakuu hapa kuna haja hata ya kumpigia kumuambia kuwa nimefika au nikaushe tu.

Na je hapa napendwa kweli au niendelee kula tu mbususu za nje?
Unataka akupende bila wewe kumpenda?

Ulipompigia hakupokea?
 
Back
Top Bottom