Nahisi mke wangu hanipendi

Mtumie text " we nyau mi nimefika salama!, vipi hali hapo nyumbani?"

Maongezi yaanzie hapo... zingatia mkeo awe ni rafiki yako.
 
Wengi hiyo hali huwa inawakuta

Cha kufanya wewe anza kumpigia au kumtext mkianza mazungumzo au kuchat hilo gubu huwa linaisha lenyewe

Na utaona tu siku nyingine yeye atakuanza atajiona na yeye anawajibika.

Ila kuliana mikausho haijengi ni ugonjwa mnaufuga

Ndoa ni kuwajibika mkuu
 

Unaitaji seminar ya ndoa, hao wenzako wamewekeza kwenye mahusiano
 
Wanaopigiwa nao huwa wanapiga
Umeuchuna naye kauchuna
 
Wewe weka picha ya kwako na watoto wako uandike my courage au my future hahaha😝😆😆💔
Msimfundishe tabia mbaya. Huu ndo mwanzo wa kuharibu ndoa.

Asifanye kabisa huo mchezo. Visasi havijengi kwanza huo ni utoto

Kwa mwendo huo ndoa hazitadumu dada yangu. Na sisi team kataa ndoa tutazidi kuwapa makavu tu
 
nimeipenda hii "picha za watoto status ameandika my HAPPINESS
 
endelea kula mbususu za njee mkuu.
 
Haya mambo bana na hawa viumbe acha nikwambie mawili matatu ujitathmini mkuu

1)ikiwa wewe Huwa haufanyi hivyo usitarajie mwenzio atakufanyia , yaani usihisi mapenzi ni wajibu wa mke kuyaonesha kwako tu hata wewe pata nae muda ukiwa kazini mpigie umeshindaje uko poa I miss you nyingi WhatsApp makopa kibao atahisi una mjali hivyo na yeye atakutafuta. Mfanye akutafute kama hujamtafta

2) penda kumfanyia vitu anapenda vizawadi vya supprize mfanye ahisi uwepo wako ni muhimu usipokuwepo ahisi kukumiss. Mlee yes nasema mlee kwa maana Kuna vitu mkataze Kuna vitu mkubalie

NB; hakikisha umeoa type yako kama umeoa kwa kulazimisha hayo ukifanya ni kusubiri meli uwanja wa ndege niliona thread ya Unique Flower akisema oa mtu wa type yako hii Ina vigezo vingi example hobby, feature n.k
 
Biblia inatuambia. "Waume wapendeni wake zenu nanyi wake waheshimunu waume zenu." Unachotakiwa kuangalia ni kama anakuheshimu. Hahitaji kukupenda. Unafikiri wanawake wa enzi hizo waliokuwa wanaolewa na wazee kama babu zao walikuwa wanawapenda? Lakini sote tunafahamu waliwaheshimu na 'Kuwaogopa.' Serikali ingepiga marufuku movies za kikorea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…