Nahisi mke wangu hanipendi

Maisha haya hayapo sawa kabisa , wengine ukimpigia pigia anawaka ibidi ujikunyate, wengine wanataka kupigiwa simu daa aise!!!
Wengine ukiuliza mara 2 mbili utasikia safi halafu anakauka daa pole sana, anza wewe huenda wewe upo mkato mkato mpaka kaamua akulie ubuyu.[emoji3][emoji3]
 
😅😂 Na yeye anaanza kutafta wa kumpa attention , afu usiombe apate lijamaa linamtext muda wote ni utakoma hang'atuki majamaa ya pembeni ya hovyo sana hujifanya yanajua kujali
 
[emoji28][emoji23] Na yeye anaanza kutafta wa kumpa attention , afu usiombe apate lijamaa linamtext muda wote ni utakoma hang'atuki majamaa ya pembeni ya hovyo sana hujifanya yanajua kujali
Yanazibaga mapengo hayo mpaka unasahau kama uliwahi kuwa na pengo, sasa wanaume wakijidai na mwanamke mpumbafu huivunja ndoa yake mwenyewe wanajisahau, wengi hawavunji bali wanakula kama panya anang'ata na kupuliza
 
Mkeo hakupend mzee we mbaka unafika yupo kimya Duuh me wife nikisafiri akiona kimya tu anachanganyikiwa sasa apige simu nisipokee na text nisimjibu presha inampandaga kabsa anaanza kupiga kwa rafikizangu ambao nipo close nao sana nakuanza kuwasumbua mbaka atanipata

Ndomana wazazi wanatuambia oa mtu anaekupenda wewe ona sasa unaangaika na attention ya mwanamke ye ndokwanza yupo online anaweka status polee sana mkuu
Sema kama kuna tatizo kaa na mkeo myamalize hayo sio maisha mnayoishi my advice
 
Kwa mawazo kama haya Waafrika tutaendelea kuitwa mazezeta na hao mabeberu,maisha ya kwenye movie utaka kuyatumia katika uhalisia hapo lazima utapotea
 
Na ukimpata anayekupenda au mnapendana wazazi nao wanaona nafasi yao imepotea kwanini iwe hivyo [emoji25]
 
Na ukimpata anayekupenda au mnapendana wazazi nao wanaona nafasi yao imepotea kwanini iwe hivyo [emoji25]

Hapo sasa wazazi wanakosea sababu ndoa teali ni maisha ya watu wa2 hayapaswi kuingiliwa kabsa wazazi tunawapenda sana lakini kunamaisha ya ndoa nayo yananafasiyake
 

Chief

Kuna mawili matatu ningependa kuchangia

La Kwanza katika Hali ya kawaida naungana na wewe kabisa,kwakuwa wewe umesafiri au uko safarini ingetakiwa mkeo akuchek kama walivyochekiwa wenzako, kwasababu Safar ni hatua hivyo angetakiwa ajali kuhusu wewe.

Pili kabla hatuja mhukumu kama anakupenda au laa, je huwa mnakawaida ya kuchekiana hata katika mazingira ya kawaida? Kwasababu kama huwa hamna Tabia ya kuchekiana basi ni business as usual nae anaona sio ishu kwasababu ni kawaida yenu.

Tatu huenda mnaishi Kwa mazoea Tu, yaani Ile mke na mume lkn hamna ukaribu WA kihisia Kati yenu, Kwa mfano je huwa mna kawaida ya kutumiana text Kwa mfano, labda uko job hlf ukamtext wife kumjulia Hali huo mchana au kumwambia umemkumbuka au kummiss na vitu kama hivyo.

Point yangu ni kwamba kama Kwa uzoefu wako hayo mambo huwa hamna basi nyie ni Sawa Sawa na housemate ambao mnashea nyumba moja Maisha yanaendelea Tu,lkn hamna mapenzi ndani yenu.

Sasa chief, unaweza kubadilisha hiyo Hali, aanza kumchek check,na ukisafiri ukifika mwambie kpnz nimefika salama, na nenda Kwa utaratibu huo Kwa kipindi Fulani,kama shida ilikuwa ni wewe kuanza hayo mambo atabadilika Ila kama hatobadilika basi Hilo ni Swala lingine.

Kila la kheri chief
 
Define who is the man and who is the woman in that relationship, ukipata jibu ndio ulete hiyo mada sasa. Sawa mkuu!
 
Mnaanza kuanzisha drama, sasa tusianze kuita wanawake ni dramatic.
 
Hpn uko wrong Sana mkeo Kam unamfanya hvyo unakozeaa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hapo sasa wazazi wanakosea sababu ndoa teali ni maisha ya watu wa2 hayapaswi kuingiliwa kabsa wazazi tunawapenda sana lakini kunamaisha ya ndoa nayo yananafasiyake
Kuna wazazi huwa wagumu kukubali kama mtoto wao kakua anatakiwa kujipangia maisha yake, ukifuatilia migogoro mingi ya ndoa familia zinachangia sana, mtu anakuwa na zaidi hata ya 40 lakini bado anasikiliza tu dada twake, halafu mwanamme mzima duu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…