Nahisi mke wangu hanipendi

Nahisi mke wangu hanipendi

Huyu mwanamke bana nahisi hanipendi wala kunijali kabisa.

Leo mimi na watumishi wenzangu tulikua tuna safari ya kikazi kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine wenzangu njia nzima kuanzia mwanzo wa safari hadi mwisho nilikua naskia simu zao zinaita wakiwa wanapigiwa na my wife zao kuulizwa wamefika wapi na mwenendo mzima wa safari yetu kwa ujumla.

Mimi sijapigiwa mpaka muda huu na tayar nishafika niendako.nimemchungulia WhatsApp yupo na ameweka status ya picha za watoto wetu wawili kaandika MY HAPPINESS.

Sasa wakuu hapa kuna haja hata ya kumpigia kumuambia kuwa nimefika au nikaushe tu.

Na je hapa napendwa kweli au niendelee kula tu mbususu za nje?
 
Ukiona kwenye mahusiano/ndoa mnaanza kutegeana nani aanze kumcheki mwenzake basi ujue kuna shida sehemu NB: communications is a key
 
Kupigiwa Simu sio kipimo pekee cha upendo maana hata wezi huwa wanapiga!
 
Wengine michepuko huwaita wife wanapoongea na simu kwa hiyo usistuke wala nini.
 
Halafu ku -have fun kwenye ndoa huwa ni seasonal na mzunguuko .

Hao ni nyakati zao za furaha Pengine wewe ulishapita huko au bado hujafika!

Usijilinganishe na wengine!
 
Huyu mwanamke bana nahisi hanipendi wala kunijali kabisa.

Leo mimi na watumishi wenzangu tulikua tuna safari ya kikazi kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine wenzangu njia nzima kuanzia mwanzo wa safari hadi mwisho nilikua naskia simu zao zinaita wakiwa wanapigiwa na my wife zao kuulizwa wamefika wapi na mwenendo mzima wa safari yetu kwa ujumla.

Mimi sijapigiwa mpaka muda huu na tayar nishafika niendako.nimemchungulia WhatsApp yupo na ameweka status ya picha za watoto wetu wawili kaandika MY HAPPINESS.

Sasa wakuu hapa kuna haja hata ya kumpigia kumuambia kuwa nimefika au nikaushe tu.

Na je hapa napendwa kweli au niendelee kula tu mbususu za nje?

Usiwe na wasiwasi..hao wanaopigiwa ni kwamba wake zao wanataka wahakikishe kwamba ni kweli wameondoka? Ili wajiachie vizuri na mababy zao baby akiwa mkoa mwengine…kupigiana simu sio ndo mapenzi..
 
We jamaa kitu kinachokuumiza zaidi Ni hizo " insecurities" ulizo nazo kwa mkeo.

Ebu acha kufeel insecure mkeo anakupenda jamani.
Kama hakupigii we mpigie umwambie umefika salama.
This is it...
 
Huyu mwanamke bana nahisi hanipendi wala kunijali kabisa.

Leo mimi na watumishi wenzangu tulikua tuna safari ya kikazi kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine wenzangu njia nzima kuanzia mwanzo wa safari hadi mwisho nilikua naskia simu zao zinaita wakiwa wanapigiwa na my wife zao kuulizwa wamefika wapi na mwenendo mzima wa safari yetu kwa ujumla.

Mimi sijapigiwa mpaka muda huu na tayar nishafika niendako.nimemchungulia WhatsApp yupo na ameweka status ya picha za watoto wetu wawili kaandika MY HAPPINESS.

Sasa wakuu hapa kuna haja hata ya kumpigia kumuambia kuwa nimefika au nikaushe tu.

Na je hapa napendwa kweli au niendelee kula tu mbususu za nje?
Huyu mwanamke bana nahisi hanipendi wala kunijali kabisa.

Leo mimi na watumishi wenzangu tulikua tuna safari ya kikazi kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine wenzangu njia nzima kuanzia mwanzo wa safari hadi mwisho nilikua naskia simu zao zinaita wakiwa wanapigiwa na my wife zao kuulizwa wamefika wapi na mwenendo mzima wa safari yetu kwa ujumla.

Mimi sijapigiwa mpaka muda huu na tayar nishafika niendako.nimemchungulia WhatsApp yupo na ameweka status ya picha za watoto wetu wawili kaandika MY HAPPINESS.

Sasa wakuu hapa kuna haja hata ya kumpigia kumuambia kuwa nimefika au nikaushe tu.

Na je hapa napendwa kweli au niendelee kula tu mbususu za nje?
Subiri kidogo atapiga simu mtoto mgonjwa anahitaji hela za matibabu zile ulizomwachia kaenda shopping.
 
Ukiwa na mawazo hayo inabidi uanze kwanza wewe kujiassess Ni Mara ngapi mkeo anaweza akawa amesafiri lakini usimuulize kuhusu maendeleo ya safari yake?Ni Mara ngapi mkeo akiwa anaumwa na umemuacha nyumbani umetoka kwenda kazini huwa uanfuatilia maendeleo yake?je Mara ya mwisho kumsifia hata kumwandikia sms nzuri mkeo ukiwa mbali naye ilikuwa lini?au ndio wewe unajifanya nunda,kuwa mbunifu utaishi na kufurahia maisha.
 
Kuna uzi humu nautafuta sana"jamaa kaenda msibani na mkewe ila kufika kule msiban mke wa jamaa hamjali wala nn anawajali baba wadogo na kaka zake jamaa akawa anamaindi sana[emoji23] ...nautafuta ule uzi nimemiss kucheka kwenye comments za mule naomba muutag jaman
 
Mi nauhakika pisi yangu inanikubali ila inajua chalii ya chuga sifagilii hizo pigo
 
Mkuu wewe furahia Maisha kadri nafasi inavyokuruhusu na usiruhusu kuwa kukubalika na mkeo iwe ndiyo chimbuko la furaha yako.
Piga kimya fanya mishe iliyokupeleka akijisikia atakutafuta maana kipaumbele chao ni watoto na sio Mume.
Mwanaume huwa hapongezwi kwa kuwajibika kwa familia jamii imelichukulia hilo kama takwa la lazima na usipofanya utalaumiwa ila ukifanya vyema hakuna pongezi bali umetimiza wajibu.
Nachelea kusema kuwa wanawake hufanya bond na watoto wao wakitegemea kupewa favor na watoto wao when they grow up na huwa tunasahaulika sisi walipa ada na watunza familia ambao tumechangia hayo mafanikio.
Dunia haijaumbwa kumpenda au kumuonea huruma Mwanaume regardless of their contributions to the prosperity of the society.
Ingawa Mwaka una siku 365 lakini wanawake pekee wana siku mbili, maana kuna siku ya Mama na kuna siku ya Mwanamke Duniani. Lakini Dunia ilivyo na roho mbaya siku pekee aliyopewa Mwanaume ndiyo wameibananisha na siku ya choo Duniani.
Hata wewe hapo nyumbani ukifikiria kuchinja kuku hapo nyumbani utawaza kuchinja Jogoo na kuacha matetea.
WANAUME TUMEUMBWA MATESO
 
Back
Top Bottom