Nahisi mshawahi kumuona Nelson Ntombela Raia wa Afrika Kusini kwenye mitandao ya kijamii?

Nahisi mshawahi kumuona Nelson Ntombela Raia wa Afrika Kusini kwenye mitandao ya kijamii?

Hyo picha aliyobeba kibegi.
KWA KWELI HILO POZI MIMI MWENYEWE LINANIFURAHISHA.
yaani anaonekana Ni mtu ambaye kaona kitu alafu HAKIELEWI
Ndo anashangaaa .hicho kichwa,huo mwili na sura yake
ana haki ya kutrend
Nelson kilichofanya atrend mimi sijaelewa ni nini zaidi
 
Back
Top Bottom