mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 42,209 Reaction score 51,004 Jan 15, 2021 #101 Hyo picha aliyobeba kibegi. KWA KWELI HILO POZI MIMI MWENYEWE LINANIFURAHISHA. yaani anaonekana Ni mtu ambaye kaona kitu alafu HAKIELEWI Ndo anashangaaa .hicho kichwa,huo mwili na sura yake ana haki ya kutrend chotera said: Nelson kilichofanya atrend mimi sijaelewa ni nini zaidi Click to expand...
Hyo picha aliyobeba kibegi. KWA KWELI HILO POZI MIMI MWENYEWE LINANIFURAHISHA. yaani anaonekana Ni mtu ambaye kaona kitu alafu HAKIELEWI Ndo anashangaaa .hicho kichwa,huo mwili na sura yake ana haki ya kutrend chotera said: Nelson kilichofanya atrend mimi sijaelewa ni nini zaidi Click to expand...