Nahisi mume wangu anatoka na house girl wetu…

Annie X6

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2023
Posts
704
Reaction score
1,331
Kama mada ilivyo...

Huyu binti alimtumia mume wangu sms akamwambia I mess you. Awali niliipuzia kwamba anawasiliana na wanaume wake na lugha yake ya kukosea I miss you atakuwa amemess kweli.

Baadae nikamuona mume wangu amelala kwenye kochi akawa anampigapiga akimuamsha. Nikaona akasema naomba nifagie...nikajiuliza why something fish here
 
Kwishaaaa
 
Waliitwa wasaidizi wa kazi kwa maana.

Huyo ni msaidizi wako, muache akusaidie. Huoni ni faraja kujua mumeo anakojolea wapi kuliko angeenda kuranda randa nje.

Wewe ni mwenye bahati kumjua mchepuko wa mumeo na kuweza kumtumikisha juu.
 
Kama mada ilivyo...

Huyu binti alimtumia mume wangu sms akamwambia I mess you. Awali niliipuzia kwamba anawasiliana na wanaume wake na lugha yake ya kukosea I miss you atakuwa amemess kweli.

Baadae nikamuona mume wangu amelala kwenye kochi akawa anampigapiga akimuamsha. Nikaona akasema naomba nifagie...nikajiuliza why something fish here
Wewe ni mzembe na hujui wajibu wako. Kama house girl ambaye hajasoma, unamlipa mshahara anaweza kukuchukulia mume hapo hapo ndani ya nyumba.
 
Back
Top Bottom