Yaani kumuamsha tu ndo ushawaza unasalitiwa? Anyway wasiwasi ndo akilinikamuona mume wangu amelala kwenye kochi akawa anampigapiga akimuamsha. Nikaona akasema naomba nifagie...nikajiuliza why something fish here
KwishaaaaKama mada ilivyo...
Huyu binti alimtumia mume wangu sms akamwambia I mess you. Awali niliipuzia kwamba anawasiliana na wanaume wake na lugha yake ya kukosea I miss you atakuwa amemess kweli.
Baadae nikamuona mume wangu amelala kwenye kochi akawa anampigapiga akimuamsha. Nikaona akasema naomba nifagie...nikajiuliza why something fish here
😅😅😅Waliitwa wasaidizi wa kazi kwa maana.
Huyo ni msaidizi wako, muache akusaidie. Huoni ni faraja kujua mumeo anakojolea wapi kuliko angeenda kuranda randa nje.
Wewe ni mwenye bahati kumjua mchepuko wa mumeo na kuweza kumtumikisha juu.
Sasa si angezimia kabisa angemkuta anampiga piga dhakari huku akimuita 'daddy'😂😂😂Nadhani kilichokushtua ni ujasiri wa kumpiga piga mgongoni😅😅
Kalala kwenye sofa anasubiri kupigwa pigwa aombwe ruhusa ya kufagia😂😂😂Mme wako yuko wapi......
Wewe ni mzembe na hujui wajibu wako. Kama house girl ambaye hajasoma, unamlipa mshahara anaweza kukuchukulia mume hapo hapo ndani ya nyumba.Kama mada ilivyo...
Huyu binti alimtumia mume wangu sms akamwambia I mess you. Awali niliipuzia kwamba anawasiliana na wanaume wake na lugha yake ya kukosea I miss you atakuwa amemess kweli.
Baadae nikamuona mume wangu amelala kwenye kochi akawa anampigapiga akimuamsha. Nikaona akasema naomba nifagie...nikajiuliza why something fish here
Amshtue, apokee simu huyo mme nampigia....Kalala kwenye sofa anasubiri kupigwa pigwa aombwe ruhusa ya kufagia😂😂😂
😅😅😅😅 kinachonichrkesha nimejifanya ndo mie hilo timbwili lake silipatii picha na akili zangu za kikobe kobe hizi km nimeinama kumbe natunga sheriaSasa si angezimia kabisa angemkuta anampiga piga dhakari huku akimuita 'daddy'😂😂😂