Nahisi mume wangu anatoka na house girl wetu…

Mbona sijaona mahali Mumeo katoka na huyo housegirl 🙄
 
nani anafua nguo za mmeo?
Nani anampikia mmeo?
Nani anafagia chumban kwako?
Huyo tayari ni mke mwenzio, ishi nae tu maana hata ukimrudisha, atamtafuta tu
 
Msaidizi wa kazI za ndani zooote.kama hufanyi kazi ya kuajiriwa muondoe huyo binti.
 
Sikuzote nasema haya maisha sio ya kuyachukulia serious sana. Nowdays both men en women sio waaminifu so usijipe stress kwa kumchunga mtoto wa mwanamke mwenzio kama vile mtoto wako wa kumzaa. Life is short enjoy jifanye mwehu siku ziende
 
Kikawaida KE hampatani,inaonesha wewe ndio umeshindwa majukumu ya nyumbani karibu kila kitu anafanya dada wa kazi...endelea tu kuhisi, unataka kutatua tatizo kwenye tawi badala ya kwenye mzizi
 
😀 😀 😀
mbona kiingereza wewe na mdada kinafanana
mess=miss
fish-phish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…