Nahisi mume wangu anatoka na house girl wetu…

Mtoe huyo dada wa kazi, atakuharibia ndoa yako, na yeye kuharibu future yake.
 
Kusaidiwa usafi na kupika sawa ila kusaidiwa kutoa uduma za mume kosa
Wacha akusaidie majukumu tu
 
Hadi mume wako nataka kufagia au kufanya usafi ina maana wewe ni mzembe au mvivu. Acha msaidizi arekebishe makosa yako.
 
Shida ni kwamba wake huwa mnajisahau sana, majukumu yooote anaachiwa housegal, anyway uko busy sana na kazii eeeh???
 
Mpe nauli aende Kwao
Huyo mwanaume analala na hg! Pole ulikosea mume
Mume hakosewi wanaume wote akili zinafanana ni kusema za yule zikiyumba kwa style fulani mwengine zitayumba kwa style tofauti so hata huyo unaemuona wewe bora halali na house girl huyo huyo ukimchunguza utagundua bar za hapo mtaani kwenu hakuna bar maid aliyemuacha na huyu mwenzako atamuona wa ajabu kisa analala na bar maids.

Na kwani house girl nae si mtu?utakuta mke aliolewa bikra hana ana bwawa but house girl kakutwa na bikra unadhani thamani ya huyo mkewe itaongezeka akijifariji alikosea mume?
 
Sijamaanisha hg sio mtu ila ametembea na hg ambae ni mmoja wa familia na yupo karibu na mkewe
Hilo nalijua kua wanaume nyie wote ni walewale
 
Mnavyolala na vibukuta kila siku kusema niache nimechoka oops mimi leo sitaki unafikiria nini cha zaidi.

Mwenzio alivyogundua akamtimua house gel, kilichofuata alipangishiwa nyumba nzima mtaa wa pili.

Ndo hivyo tena.
kumbe wanalala na vibukta badala ya kanga?
 
Neno i miss you ni neno la kawaida tu hata Mama ya gu namwambia hata Dada zangu.

Shida iko wapi.
 
Mnavyolala na vibukuta kila siku kusema niache nimechoka oops mimi leo sitaki unafikiria nini cha zaidi.

Mwenzio alivyogundua akamtimua house gel, kilichofuata alipangishiwa nyumba nzima mtaa wa pili.

Ndo hivyo tena.
Kusema ukweli sisi wanaume tuliokamilika kila sekta hatuwezi kuishi na Mwanamke anayefanya kazi.

Mwanamke anayefanya kazi anachoka sana huko kwa mabosi wake.

Sasa kutegemea kwamba atarudi nyumbani akufanyie zile favoura kama Mke ni kumwonea tu.
Mwanamke naye ana mwili na roho.

Kwa kulitambua hilo nina Mama wa Nyumbani yaani nikifika Nyumbani
I am the King in my own small Palace.
 
Utakuwa mnyimi wa mbunye wewe, mume hawezi kutembea na housegirl hivi hivi lazima kuna kitu unazingua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…