Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

Kuchokwa na kukinahiwa ni sehemu ya maisha ya ndoa, ndoa is not a bed of roses kwamba kwa miaka yote mpo poa tu bila changamoto zozote.

It will pass, jitahidi tu kupendeza na kumvutia. Ila kama unaweza kutafuta shughuli ya kufanya itakuwa poa sana, huenda mkarejesha mahaba yenu.

Hakuna ndoa isiyokuwa na ups na downs.
 
Maskini[emoji17][emoji17][emoji17]bado unafanya nini apo dear? Naomba rudi kwenu haraka[emoji24]
Kwamba hizi changamoto zimfanye aondoke aache watoto na familia aliyoijenga? Hivi wakuu mpo kwa ndoa kweli?

Nadhani watu tukisikia ndoa za 30+ yrs tunadhani ni kitu rahisi kuja
 

Mbona umeandika huku wafurahi?
 
Nakushauri punguza kudeka deka sana kwake , yaan kila ukimuona basi utataka umshike , cjui utake akubembeleze bembeleze kila muda , ... nasema hv sababu mm mwenyew nilishadate na gal nilimchoka kabisa kisa hvyo hvyo , ukiwa karibu nae atataka mara akushike shike yeye akidhani ni mahaba kumbe hua ni kero kwetu , fanya mahaba kwa wastani na sio kila muda , popote , hujui mood ya mwenzio kwa wakati huo ... ukifanya hv amini atarud kama mwanzo
 
Kutakuwa kuna tatizo mahali; kama hutojali ebu njoo nikuone, inawezekana wewe ukaona uko sawa kumbe kuna tatizo mahali
 
Hakuna ndoa nzuri kama za watu ambao ni marafiki kwanza ,kuchokana inakuwa ni ngumu mno, ni vizuri marafiki wakioana.
 
Kwa hizo kilo 60..plus uzazi na stress za mumee mmmh...Hapa Nuru itakuwa imepoteaa gain weight kidogo..mwili ukikomaa sana kwa mwanamkee kusema ule ukweli unakuwaa hauvutiii...mwili wa mwanamkee unatakiwa kuwa shata shataa...
 
Mkuu, omba kusafiri kidogo uende nyumbani upumzike walau weeks kadhaa kisha urudi au kama mumeo anaye kaka yake mkubwa mshirikishe huyo shemeji yako changamoto unazozipitia.
Maddox..how old are you? Mimi umri wa pisi na mwamba nshapita...Ni mama wa watoto wawili...na wa level zetu kivipii? Na hii njaa Kali mi Sina..I had money [emoji12]
I had money unajipaka vasselin ya watoto?
 
Afadhali we unapaka vaseline ya watoto mi mke wangu anapaka mafuta ya kupikia aina ya korie
 
Ni kweli amekuchoka na hajaanza kukuchoka kwa siku moja.
cha kufanya jitahidi utoke hata kwa wiki moja uwe mbali kabisa na yeye.
tafuta muda zungumza naye au mtala azungumze naye mueleze hisia zako vile unavyojisikia kutokana na hiyo hali(epuka kuwashirikisha ndugu) tafuta wataalam au viongozi wa dini, mshenga n.k
Pia jipende, fikiria siku ya kwanza munakutana ni maneno gani alikuwa akikuambia yale ya kukusifia kisha jiulize hizo sifa hadi leo zipo? kama hazipo fanya kujiupdate
Mengine shauriana na psyclogist wako kuna vit atakuambia uvifanye kma mazoezi kwa kipindi kisihopungua mwezi mmoja ukiona habadiliki kubali hiyo hali kuachana sio suluhisho ila inaweza kuwa njia ya kutafuta amani
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nanyimwa dada, Yan naomba bas umeninyima iyo..naomba bas unishike apa, wapiii anakataa[emoji23]
Tafuta bebi wa akiba🤣🤣🤣 utakuja kufa na nyeg* shauri yako🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…