Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

😀😀😀😀😀
nacheka kama mazur ila pole sana
 
Bado hujasema.......na utasema 😆😆😆😂😂😂🤣🤣🤣🚬🚬🚬🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️🏃🏾‍♂️
 
Ndoa imeshaisha iyo. Tafuta kazi mkoa mwingine ukaanze upya...
Msiimalize ndoa kirahisi hivyo...🤣🤣🤣

Ujue siku zote wanaume ni hunters, asimuache mumewe free, Ampe Kazi ya kufanya....apendeze, Yani ajipende apendeze....badala ya mume kuwaza kuwinda visoliwa huko nje awaze kulinda mkewe nyumbani....

Mume vitu viwili macho na pua, mume asione kwake Ila uzuri wake, asinuse ila harufu yake nzuri....sio mke ananuka vitunguu.

Akijitahidi mapishi na judo za bed, huyo mume akimwita mbwa, aje anirudishie Mimi hilo tusi🤣🤣🤣

Ndoa haivunjwi kirahisi hivyo, tuko kwenye mapambano makali na team kataa ndoa, tusiwape point🤣🤣🤣

NB. Mleta mada Bebi wa akiba muhimu, atakusaidia kukufanya upunguze shobo Kwa mumeo🤣
 
Dada hufanyi kazi?? Kama hauna tafuta cha kufanya.....tafuta hela jipe furaha, toka out,vaa,pendeza jipende,acha kulalamika [emoji28]
 
Siku zote mkiwa ndani ya ndoa na ukaanza kuona dalili ya kumchoka mwezako au kuchokwa unasafiri hata mwezi mzima, ukirudi unamuona mpya maisha yanaendelea..

Sina uzoefu wa mambo ya ndoa kabisa ila hiyo ndiyo tiba kidogo

Nb; wanawake mkiolewa namkisha zaa jitahidini muwe mnapendeza kama mlivyo kuwa mabinti huko nyuma. HAKUNAGA MWANAMKE CHAKAVU MBELE YA MWANAUME
 
I salute you!
 
Yaan wengi hii inatutokea ila tunajitahid kuficha tu baadhi ya mambo ili kubalance mambo,ila kuna muda mwanamke anachosha balaa yaan ana expire
 

Hapo mwisho ndio anaenda kuizika na kuikalia eda ndoa yake, huyo hana uzoefu wa kuchepuka atadakwa na makosa yote atayabeba yeye au kutatokea mauaji ya kimbali

Yeye atafute pesa aone km huyo mwanaume atamletea dharau
 
We nani hapa duniani mpaka usichokwe? Dalili ushaziona .Tafuta mwingine mpendane huko nje duniani ishavaa gagulo hii.Matajiri wanachokana,maraisi wanachokana,masikini wanachokana.
 
dah pole kuoleowa na asiewako, huyo ana mtu wake, namshukuru mungu niko nae miaka 8 ila kila nikiwa nae nikama ni siku ya kwanza kuwa nae. (nampenda sana)
 
Shida sio kama kakuchoka,inatakiwa na wewe uende na wakati,ubadilike kutokana na muda,badili mbinu za mapenzi using'ang'anie zilezile ulizoanza nazo ukajuwa zitafanya kazi milele,hata biashara kama ilikuwa imechanganya na ukabaki na mbinu ile ile miaka nenda rudi lazima itafika mahali utapoteza wateja,nenda na wakati,badili mapigo yako,utakuja kunishukuru...
 
Mwanaume kufikia hatua hyo jua kuna mambo mengi nyuma umewh kumfanyia akawa anavvumilia siyo bule,, pia wakati mwingne jalibu kujiangalia ama kujichunguza ww u anakosea wap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…