Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

Mie nakujibu kwa experience ila sijaolewa , wanaume wakikuoa watumie kwa mwanzo aweke mambo ya kipesa sawa , ukimaliza umejiweka sawa basi anza kutokuwa free uwe busy panga ratiba amazojuabkanisa kuingia kwako ni saa 3 au saa mbili njoo na kitu kinachoiva haraka mle mlale usimlazimishe mapenzi ,sex mwache anze na jifany upo busy sio unahitaji sana ukimlazimisha sana anakuona huna kazi yakufanya haya kazi kwako.

Anza kutafuta kazi, ukipata jiweke vizuri ushine kuanzia nywele hadi miguu , jiweke busy , zaa mapema na wasiwe wengi uwe unawahudumia wao uwe hata hamu ya sex huna . Atajileta wala usipende michepuko fanya yako. Basi tu . Maisha nikujioa raha . Ndoa isiwe ndoano jiweke busy .
 
Kama Bado unampenda kupunguza kulalamika alafu kuwa bize ,kingne usiombe tendo la ndoa jifanye huna mda nae ila muheshimu fanyie Kila kitu anapasa kufanya mwanamke ila usishoboke nae mwenywe utaona majibu
 

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mbavu zangu
Dada soma kitabu cha fascinating woman hood utanishukuru badae
 
Mi sifurahi...Ni njia tu ya uandishi...Nina msongo wa mawazo wa Hali ya juu[emoji17] nategemea ushaur apa lakin naona nagombezwa,si nicheke Tena Sasa[emoji1787] niokoeni nyie ntakufaaa,namaanisha...

Hakuna mkate mgumu mbele ya chai ,hakuna mwanamme mjeuri mbele ya mwanamke mnyenyekevu....ndoa ni sanaa......Wasanii wanaigiza kaole CD dukani kina dada wanaigiza ulokole miili buchani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…