Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

oya mtie wivu, anza kupendeza. rudi kazini au ata tafuta shughuli ya kutoka asubuhi kurudi jioni coz utakua unatoka umepiga umini au jeans kali unarudi ivo atajua kwamba ana wife pisi akizubaa anaibiwa na madereva crown.

Ila anatoka saa 1 asubuhi kakuacha na dera unafua fua anarudi saa 12 jioni bado upo na dera unasafisha nyumba, nani atakuiba. Mangi au muuza bucha?
 
Kweli Ramon,najiona kabisa nilivyodhoofika[emoji17]
 
Aisee,daah!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] oya acha kunifundisha ujeuri,nkifukuzwa jeee
 
Pole ........lakin ndio mjifunze kupenda wa level zenu ............maana ni kama pozi zilikuwa nyingi harafu dizaini kama mwamba kagundua ukweli wewe ulikuwa pisi ya masela harafu Huna maajabu yeyote zaidi ya kudeka deka wakati njaa kali
 
Pole ........lakin ndio mjifunze kupenda wa level zenu ............maana ni kama pozi zilikuwa nyingi harafu dizaini kama mwamba kagundua ukweli wewe ulikuwa pisi ya masela harafu Huna maajabu yeyote zaidi ya kudeka deka wakati njaa kali
Maddox..how old are you? Mimi umri wa pisi na mwamba nshapita...Ni mama wa watoto wawili...na wa level zetu kivipii? Na hii njaa Kali mi Sina..I had money [emoji12]
 
Hahahaaa...., Eti wewe team.....
 
Hii story inapatikana katika channel gani za bongo movie?
 
Jipende dada. Kula vizuri, vaa upendeze, nukia hatakama upo nyumbani. Halafu usimgasi gasi mpe nafasi huku wewe ukiendelea kujipendezesha.
Kosa langu Ni kumghasi[emoji1787] kila Sasa nalialia,baba sweetie I miss you..baba sweetie kwanini hunipend..baba sweetie...waiiii ndo anaongeza mabalaaa..eti we bila Mimi huez kuishi?[emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] oya acha kunifundisha ujeuri,nkifukuzwa jeee
Unakua unamuheshimu kama kawa. We unakua unafanya yako tu.

Si wanaume wengi tuna controlling nature tunataka control mtu kama TV.

Na step ya kwanza ya controlling man ni kukata source zako za income ili uwe dependant, ya pili anaanza kukuchagulia nani ww kuchat nae na nani uwasiliane nae, ya tatu anaanza control simu yako, nini cha kuvaa, wapi pa kwenda.. na hauwezi fanya kitu kwasababu ametimiza ile ya kwanza.

Kwahiyo cha kwanza jitoe hapo namba moja, tafuta kazi au shughuli ata ya kukuweka busy ata kama home pana space anza kufuga, kama space ndogo anza biashara ya maua au miche, yaan just be busy ukipata maokoto ukaanza shine jamaa atatuma mahali tena kwa wakwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…