Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
oya mtie wivu, anza kupendeza. rudi kazini au ata tafuta shughuli ya kutoka asubuhi kurudi jioni coz utakua unatoka umepiga umini au jeans kali unarudi ivo atajua kwamba ana wife pisi akizubaa anaibiwa na madereva crown.[emoji1787] ndoa tamu we mad max, oa uone[emoji39] tatizo Ni iz changamoto tuu.
Sisi Ni wakubwa..tuna watoto wawili...Mimi alinikuta na kilo 60 actually mwembamba..Sasa Nina watoto wawili na kilo zilezile...tofaut Ni kua stress zimenichosha[emoji1787]
Kikubwa Ni alinikuta na pesa..akasema anapenda nikae home hashindwi kunihudumia[emoji4][emoji4][emoji4] si nikakubaliiii kuacha kazi. saiv Sina ata lotion [emoji1787][emoji1787] najipaka Vaseline ya watoto
Ila anatoka saa 1 asubuhi kakuacha na dera unafua fua anarudi saa 12 jioni bado upo na dera unasafisha nyumba, nani atakuiba. Mangi au muuza bucha?