Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

Nahisi mume wangu kanichoka kabisa

Pole sana. I can learn unavyoumia kupitia emoji zako za vicheko. Everything will be fine. Fanya kujipa hiyo attention unayompa. Keep yourself busy, busy na watoto, busy na kazi (tafuta), nk. soon utaona mabadiliko.
 
Lazima kutakuwa na dada mwingine anakusaidia, solution na wewe tafuta ben 10 wa kusogeza nae muda
 
Ana mchepuko huko nje huyo jamaa, sio bure, haiwezekani kila unachofanya kiwe kibaya kwake, bado muda kidogo atakuambia urudi kwenu au hatarudi nyumbani wiki nzima.
 
Back
Top Bottom