Nahisi nguvu zangu za kiume zimezidi!

Pia inategemea unakutana na wanawake wa aina gani strong or soft
Pia unapaswa kulifanya tendo kwa furaha na sio kukomoa mtu sasa wewe unalenga kimonoa zaidi huwa pia tunasoma hisia za mtu uliye nae kwanza
Nilikuwa hata sitaki kuchangia hii thread lakini naona wewe umetoa angalizo muhimu na la maana sana ambalo wanaume wengi wa kibongo hawajui au ni washamba. Wengi wanadhani wakati wa mapenzi wakitumia muda mrefu ndiyo mwanamke anaridhika au anamwona mbabe kumbe kinyume chake mwanamke anajenga negative feelings kwa mwanamme na anakuwa hafurahii wala kumvutia! Sex siyo kukomoana ila ni kumwelewa mwenzako anavutiwa na nini na kumtendea. Anything too much is harmful. Tuache ushamba.
 
Maumbile makubwa kiasi,kuchelewa kupizi....hizo ni sifa za ushujaa wala usiwasikilize wadada watakupotezea muda wewe wasukumie mpaka waachame midomo kunasiku hiyo hali hutakuwa nayi tena.
 
Subiri wamama wakusifie. Sio ujisifie mwenyewe
 
its abnormal kutumia dkk zote hizo normal ni within dkk 5, acha nyeto, acha pombe piga tizi utarudi kwenye normal
 

...Kama una hakika kwamba hujidangaji na kujipa matumaini ya bure...Lipia Tangazo A.K.A TOngozo...!!
 
utoto
 
Maumbile makubwa kiasi,kuchelewa kupizi....hizo ni sifa za ushujaa wala usiwasikilize wadada watakupotezea muda wewe wasukumie mpaka waachame midomo kunasiku hiyo hali hutakuwa nayi tena.
Duuh aisee!
 
Vema.
USHAURI.
Fanya ushirika na Tanesco muwe mnazalisha nguvu za umeme. Haujachelewa.Fanya hima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…